Airtel yazindua huduma ya kufanya malipo kwa kutumia kadi
Mfanyabiashara na mmiliki wa duka la dawa katika eneo la Mrombo Arusha Bi elizabeth mshana akiongea na Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde juu ya huduma ya kufanya malipo kwa kutumia kadi ya Airtel Money Near Field Communication (NFC) based solution ya Airtel Money. kadi hii maalum inamuwezesha mteja kufanya malipo kwa haraka kwa kugusisha kwenye kifaa maalum tu mara moja, kisha kuweka nambari ya siri na kufanya malipo mahali popote. kwa sasa huduma hii imeanza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA HUDUMA YA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA KADI
11 years ago
MichuziCRDB yazindua huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi KCMC
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-k9va0Ib9tO0/VhtgoYPorgI/AAAAAAAH-9g/ftINHlCTDMA/s72-c/01.jpg)
AIRTEL YAZINDUA KADI YA MALIPO YA AIRTEL MONEY "TAP TAP"
Huduma hii...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/011.jpg)
AIRTEL YAZINDUA KADI YA MALIPO YA AIRTEL MONEY "TAP TAP"
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-azZA5E--RyE/VlYkIeDiOwI/AAAAAAAIIaM/bove7Pc73jY/s72-c/40c8b8d5-8024-4fe4-8b75-13e973062579.jpg)
Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja * huduma ya kwanza na kipekee kutolewa na kampuni ya mawasiliano ya simu nchini, inawawezesha wateja kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi
9 years ago
MichuziTASOI YAZINDUA KAMPENI YA SARATANI KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA MAWASILIANO BILA MALIPO YOYOTE
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Kizimbani kwa kutumia kadi 99 za ATM kufanya ujambazi
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
Kampuni ya Interswitch yazindua huduma ya malipo kwa njia ya mtandao jijini Dar leo
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Interswitch kwa Afrika Mashariki Bernard Matthewman, akizungumza na wadau mbalimbali Dar es Salaam leo , wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo hapa nchini uliofanyika Hoteli ya Hyatt Regency- Kilimanjaro pamoja na huduma ya malipo kwa njia ya mtandao.
Wadau wakiwa kwenye uzinduzi huo.
![](http://1.bp.blogspot.com/-bVuGGmmm9p4/Vl7PaRU_4lI/AAAAAAAAUcc/vRpCaHHvsXQ/s640/3.jpg)
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
![](http://2.bp.blogspot.com/-swvF1Q-xtC8/Vl7PeuUwhhI/AAAAAAAAUc0/lk0IhnhaM5w/s640/5.jpg)
Maofisa wa kampuni hiyo wakiwa kwenye uzinduzi huo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Tp7ynrrJ9SE/Vl7PfR2OXnI/AAAAAAAAUc4/jnA5KrTvdMM/s640/6.jpg)
Mmoja wa maofisa wa kampuni hiyo akiwa katika uzinduzi huo.
![](http://2.bp.blogspot.com/-G04UNqJyF1U/Vl7PigfSCrI/AAAAAAAAUdE/dObV4YhFduI/s640/7.jpg)
Mkutano na...
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Airtel yazindua wiki ya huduma kwa wateja
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imejipanga kikamilifu kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzitambua jitihada na michango ya watoa huduma wao na kuthamini umuhimu wa wateja. Airtel,...