DKT International yazindua kondomu mpya
Shirika la DKT International limezindua rasmi kondomu mpya za Bull na Trust. Akizungumza katika uzinduzi huo, rais wa DKT ndugu Christopher Purdy alisema nia hasa ya kuleta bidhaa za kondomu nchini ni kusaidia katika jitihada za kukabiliana na uzazi wa mpango na pia magonjwa ya zinaa.
Uzinduzi huo ulienda sambamba na usomaji wa ripoti ya utafiti wa tabia za kimapenzi kwa wakazi wa Dar es Salaam iliyofanywa na taasisi ya Data Vision International ambayo mojawapo ya matokeo ni ile iliyoonyesha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog29 Jun
Clouds Media International yazindua huduma mpya ya kutafuta na kuunganisha wasanii kwenye shughuli mbalimbali za burudani
Mkurugenzi wa Clouds Media, Joseph Kusaga.
*Wasanii kutoka Afrika, Mashariki ya Kati na Asia kunufaika na huduma hii.
Kampuni ya Clouds Media International leo imetangaza kuzindua huduma mpya ya kutafuta na kuwaunganisha wasanii kwenye nafasi za kutoa burudani kwenye matamasha na matukio mbalimbali.
Kazi hiyo ya kuunganisha na kuwatafutia wasanii nafasi ya kutoa burudani itakuwa chini ya Status Bookings ambayo ni kampuni dada ya Clouds Media Group.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Clouds Media,...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-HLZ5Zl_3ZEw/VZEjQNJwaEI/AAAAAAAHljY/sroPUTkkks4/s72-c/581522_489635121134789_1304210883_n.jpg)
Clouds Media International yazindua huduma mpya ya kutafuta na kuunganisha (booking) wasanii kwenye shughuli mbalimbali za burudani.
![](http://2.bp.blogspot.com/-HLZ5Zl_3ZEw/VZEjQNJwaEI/AAAAAAAHljY/sroPUTkkks4/s640/581522_489635121134789_1304210883_n.jpg)
· Wasanii kutoka Afrika, Mashariki ya Kati na Asia kunufaika na huduma hii.
Abu Dhabi – Kampuni ya Clouds Media International leo imetangaza kuzindua huduma mpya ya kutafuta na kuwaunganisha wasanii kwenye nafasi za kutoa burudani kwenye matamasha na matukio mbalimbali.
Kazi hiyo ya kuunganisha na kuwatafutia wasanii nafasi ya kutoa burudani itakuwa chini ya Status Bookings ambayo ni kampuni dada ya Clouds Media Group.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Clouds Media, Joseph Kusaga, uzinduzi wa...
11 years ago
MichuziHEIFER INTERNATIONAL TANZANIA YAZINDUA MRADI MKUBWA WA KUENDELEZA SEKTA YA MAZIWA KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ByMFMcPfJhw/U1pEy-hU_UI/AAAAAAAFc-o/8wrKJ8zwmok/s72-c/unnamed+(38).jpg)
Dkt. FENNELLA MUKANGARA AKUTANA NA RAIS WA INTERNATIONAL YOUTH FOUNDATION
![](http://1.bp.blogspot.com/-ByMFMcPfJhw/U1pEy-hU_UI/AAAAAAAFc-o/8wrKJ8zwmok/s1600/unnamed+(38).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-CP2VQjJVOr4/U1pEiI6hXSI/AAAAAAAFc-g/4um0aSKi2iI/s1600/unnamed+(37).jpg)
9 years ago
Dewji Blog02 Oct
Dkt . Gharib Bilal atembelea Banda la Fastjet maonesho Swahili International Tourism Expo (S!TE)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt . Gharib Bilal akitambulishwa kwa wafanyakazi wa Fastjet na Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati wakati wa maonesho ya Swahili International Tourism Expo (S!TE) Jijini Dar Es Salaam jana.
Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati akimkaribisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt . Gharib Bilal wakati uzinduzi wa maonesho ya Swahili International Tourism Expo(S!TE) Jijini Dar Es Salaam jana. Pembeni ni Afisa...
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Airtel yazindua huduma mpya
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imetangaza rasmi huduma ya kisasa ya kifedha kupitia huduma ya Airtel Money. Huduma hiyo mpya ya kibunifu itatoa uzoefu tofauti wa huduma za...
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Bayport yazindua huduma mpya
TAASISI ya kifedha ya Bayport Tanzania imezindua huduma mpya ya mikopo ya bidhaa ikiwa na lengo la kurahisisha utendaji kazi wa watumishi wa umma na wafanyakazi wa kampuni zilizoidhinishwa na...
9 years ago
BBCSwahili07 Oct
Microsoft yazindua laptopu mpya
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Airtel yazindua simu mpya
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel, imetangaza ushirika wake na kampuni kubwa inayotengeneza simu za mkononi aina ya Apple. Airtel imeweka historia kwa kuwa kampuni ya kwanza ya mawasiliano...