Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Microsoft yazindua laptopu mpya

Kampuni ya microsoft imezindua laptopu inayojulikana kama surface book ikiwa miongoni mwa bidhaa mpya za Windows.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MICROSOFT YAZINDUA LUMIA SMARTPHONES TANZANIA

Kushoto ni Meneja Mkuu wa Microsoft Afrika Mashariki, Mariam Abdullahi na Meneja Uzalishaji wa Microsoft Afrika Mashariki, King’ori Gitahi wakizindua Microsoft Lumia Smartphones. Meneja Uzalishaji, King’ori Gitahi akitoa ufafanuzi wa simu hizo kwa wanahabari.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel yazindua simu mpya

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel, imetangaza ushirika wake na kampuni kubwa inayotengeneza simu za mkononi aina ya Apple. Airtel imeweka historia kwa kuwa kampuni ya kwanza ya mawasiliano...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bayport yazindua huduma mpya

TAASISI ya kifedha ya Bayport Tanzania imezindua huduma mpya ya mikopo ya bidhaa ikiwa na lengo la kurahisisha utendaji kazi wa watumishi wa umma na wafanyakazi wa kampuni zilizoidhinishwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel yazindua huduma mpya

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imetangaza rasmi huduma ya kisasa ya kifedha kupitia huduma ya Airtel Money. Huduma hiyo mpya ya kibunifu itatoa uzoefu tofauti wa huduma za...

 

11 years ago

Habarileo

Sumatra yazindua utaratibu mpya wa mabasi

MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imezindua utaratibu mpya wa ratiba na vibao maalumu, vitakavyotumiwa na mabasi yanayotoa huduma ya usafiri kati ya Kilimanjaro na Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

NMB YAZINDUA KAMPENI MPYA YA JIHUDUMIE

Benki ya NMB imezindua kampeni mpya ya Jihudumie yenye lengo la kuwezesha upatikanaji wa haraka wa huduma mbalimbali za benki hiyo. Akizindua kampeni hiyo jijini Dar es Salaam Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bw. Mark Wiessing alisema mbali ya upatikanaji wa huduma haraka, kampeni hiyo itawezesha huduma kupatikana muda wowote na mahali popote.
Sasa wateja wa NMB wanaweza kupata huduma bila kwenda katika tawi la NMB. “Tunapenda kuwafahamisha wateja wetu kwamba sasa wanaweza kupata huduma za...

 

10 years ago

GPL

SAMSUNG YAZINDUA SIMU MPYA GALAXY S6

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia John Mngogo akipata maelezo kutoka kwa Hy Zong Sun Seo Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Electronics Tanzania wakati wa uzinduzi wa simu mpya ya Samsung Galaxy S6 iliyozinduliwa jana kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro jijini Dar es salaam , Kushoto ni Sylvestre Manyara Nteere , Meneja wa Mauzo na Usambazaji. Hy Zong Sun Seo Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Electronics...

 

11 years ago

BBCSwahili

Brazil yazindua mpango mpya wa Usalama

Brazil imeongeza maafisa 70,000 zaidi kuimarisha usalama katika fainali za Kombe la Dunia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Apple yazindua saa mpya ya iWatch

Kampuni ya Apple imezindua saa mpya aina ya smartwatch ijulikanayo kama 'The Apple Watch', ambayo wataalamu wanasema ni aina yake

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani