Brazil yazindua mpango mpya wa Usalama
Brazil imeongeza maafisa 70,000 zaidi kuimarisha usalama katika fainali za Kombe la Dunia.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMBEYA YAZINDUA MPANGO WA MAREKEBISHO YA TABIA NA MPANGO WA UTOAJI MSAADA WA SHERIA
10 years ago
Habarileo20 Jun
Mpango wa kulinda usalama wa maji waja
SERIKALI inaandaa mpango utakaoweka utaratibu wa usafi na usalama wa maji kuanzia kwenye chanzo hadi kwa mtumiaji, hatua ambayo itamfanya mwananchi kunywa maji ya bomba moja kwa moja bila kuchemsha.
11 years ago
Tanzania Daima11 Aug
YPC yazindua mpango wa Sauti ya Vijana
ASASI isiyo ya kiserikali ya Youth Partnership Countrywide (YPC), ya Kibaha mkoani Pwani, imezindua mpango wa Sauti ya Vijana kwenye Uwajibikaji (ViVA), utakaowajengea uwezo vijana katika suala la uwajibikaji kuanzia...
9 years ago
MichuziPolisi waja na mpango wa kuboresha usalama kwenye jamii
Jeshi la polisi nchini, limeanzisha mpango wa kuboresha usalama wa jamii nchi nzima ambao unalenga kuboresha utoaji wa huduma bora kwa wananchi, kuboresha mawasiliano ya ndani na nje ya Jeshi la polisi kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali wa usalama ambapo mpango huo utaanza kutekelezwa katika mkoa wa kipolisi kinondoni ambapo lengo lake ni kupunguza uhalifu kwa asilimia kumi ifikapo mwaka 2019.
Akihitimisha maabara ya mpango huo iliyofanya kazi kwa...
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Jeshi la Polisi laja na mpango wa kuboresha usalama kwenye jamii.
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahmani Kaniki akisalimiana na askari Polisi wa wa jeshi hilo. (Picha ya Maktaba).
Na Tamimu Adam, wa Jeshi la Polisi.
Jeshi la polisi nchini, limeanzisha mpango wa kuboresha usalama wa
jamii nchi nzima ambao unalenga kuboresha utoaji wa huduma bora kwa wananchi, kuboresha mawasiliano ya ndani na nje ya Jeshi la polisi kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali wa usalama
ambapo mpango huo utaanza kutekelezwa katika mkoa wa kipolisi kinondoni ...
9 years ago
MichuziJeshi la Polisi laja na mpango wa kuboresha usalama kwenye jamii.
Akihitimisha maabara ya mpango huo iliyofanya kazi kwa...
10 years ago
MichuziWORLD LUNG FOUNDATION YAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA UZAZI WA MPANGO
10 years ago
GPLVODAFONE YAZINDUA MPANGO WA KILIMO KLUB KUWAKOMBOA WAKULIMA WADOGO
10 years ago
MichuziSERIKALI YAZINDUA KAMATI YA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA USALAMA ZA WATU WENYE UALBINO