Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mpango wa kulinda usalama wa maji waja

Naibu Waziri wa Maji, Amos MakallaSERIKALI inaandaa mpango utakaoweka utaratibu wa usafi na usalama wa maji kuanzia kwenye chanzo hadi kwa mtumiaji, hatua ambayo itamfanya mwananchi kunywa maji ya bomba moja kwa moja bila kuchemsha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Polisi waja na mpango wa kuboresha usalama kwenye jamii

Na. Tamimu Adam – Jeshi la Polisi.
Jeshi la polisi nchini, limeanzisha mpango wa   kuboresha usalama wa jamii  nchi nzima ambao unalenga  kuboresha  utoaji wa huduma bora kwa wananchi, kuboresha mawasiliano  ya ndani na nje ya Jeshi la polisi kwa kuwashirikisha wadau  mbalimbali wa usalama ambapo mpango huo utaanza kutekelezwa katika mkoa wa kipolisi kinondoni  ambapo lengo lake ni  kupunguza uhalifu kwa asilimia kumi ifikapo mwaka 2019.
Akihitimisha  maabara ya mpango huo iliyofanya kazi kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WASAMBAZA MAJI NCHI (AWAC) CHAWAKUTANISHA WADAU MBALIMBALI WA MAJI ILI KUJADILI NAMNA YA KULINDA NA KUVITUNZA VYANZO VYA MAJI

  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Luteni mstaafu Chiku Gallawa akisalimiana na viongozi wa Chama cha Wasambazaji maji(AWAC) pamoja na wadau mbalimbli wa maji mara baada ya kuwasili hotelini hapo kwa ajili ya ufunguzi wa kongamano.(Picha na John Banda wa Pamoja Blog)Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Luteni mstaafu Chiku Gallawa akizungumza jambo kwenye ufunguzi wakongamano la wadau wa maji lililoandaliwa na Chama cha wasambazaji wa maji (AWAC) na linalofanyika kwa siku tatu ili kujadili namna ya kupunguza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mpango kabambe waja Mwanza, Arusha

SERIKALI imeipa kazi ya kuandaa mpango kabambe (Master Plan) wa mipango miji kampuni ya kimataifa ya Surbana International Pty Ltd ya nchini Singapore kwa ajili ya majiji ya Arusha na...

 

10 years ago

Mwananchi

Waja na mpango wa kutunuku wanafunzi shule za kata

Maendeleo hayaji bila hamasa na motisha. Ili shule za sekondari za kata zifanye vizuri katika taaluma kama ilivyo kwa shule binafsi, wadau wa shule hizo na jamii kwa jumla haina budi kubuni mikakati ya kukuza ari ya kufundisha na kujifunza shuleni.

 

10 years ago

GPL

THT, DK. MWAKA WAJA NA MPANGO WA AFYA YA WASANII

Mkurugenzi Mkuu wa THT, Ruge Mutahaba, akielezea namna kituo hicho kilivyojipanga kutoa elimu ya afya kwa wasanii Msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, akizungumza neno kwa niaba ya vijana na wasanii juu ya mpango wa elimu ya afya unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni…

 

10 years ago

Habarileo

‘Sheria ya mtandao ipo kulinda usalama na amani’

WAKATI Sheria ya Makosa ya Mtandao ikitarajiwa kuanza kutumika Septemba Mosi, mwaka huu, Watanzania wametakiwa kutambua kuwa serikali haina nia ya kuwahamishia wananchi gerezani bali ni kwa ajili ya usalama wa nchi.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi yafurahia vifaa vya kulinda usalama

JESHI la polisi mkoani Mbeya limeipongeza serikali kwa kuliwezesha kupata vifaa vipya na vya kisasa kwa ajili ya kukabiliana na aina yoyote ya uvunjifu wa amani siku ya uchaguzi mkuu unaofanyika kesho.

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yazidi kujikita kulinda Usalama wa wafanyakazi wake

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezindua kampeni maalum ya kuhamasisha wafanyakazi wake kuhakikisha uendeshaji wa magari na vyombo vingine vya moto unaozingatia usalama ili kulinda afya na usalama wao wawapo barabarani.
Vodacom ambao ni washindi wa tuzo ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi inayotambuliwa na Mamlaka ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) imezindua kampeni hiyo ikiwa ni mwendelezo wa jitihada mbalimbali inazozichukua katika kuhakikisha usalama wa wafanyakazi wake...

 

11 years ago

BBCSwahili

Brazil yazindua mpango mpya wa Usalama

Brazil imeongeza maafisa 70,000 zaidi kuimarisha usalama katika fainali za Kombe la Dunia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani