Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB YAZINDUA KAMPENI MPYA YA JIHUDUMIE

Benki ya NMB imezindua kampeni mpya ya Jihudumie yenye lengo la kuwezesha upatikanaji wa haraka wa huduma mbalimbali za benki hiyo. Akizindua kampeni hiyo jijini Dar es Salaam Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bw. Mark Wiessing alisema mbali ya upatikanaji wa huduma haraka, kampeni hiyo itawezesha huduma kupatikana muda wowote na mahali popote.
Sasa wateja wa NMB wanaweza kupata huduma bila kwenda katika tawi la NMB. “Tunapenda kuwafahamisha wateja wetu kwamba sasa wanaweza kupata huduma za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yazindua kampeni ya Jihudumie

BENKI ya NMB imezindua kampeni ya Jihudumie yenye lengo la kumwezesha mteja kupata huduma kirahisi kwa kujihudumia mahali alipo. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa huduma...

 

9 years ago

Dewji Blog

Johnnie Walker yazindua kampeni mpya ya “Furaha Itakufikisha Mbali”

CAMPIX PRODUCTION

Meneja Chapa (pombe kali) wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Shomari Shija (wa kwanza kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya Johnnie Walker iliyopewa jina la “Furaha itakufikisha mbali” yenye lengo la kuhamasisha watu kuwa na utamaduni wa kupenda na kufurahia kile wanachokifanya katika kujiletea maendeleo binafsi. (katikati) ni Mkuu wa masoko bidhaa za pombe kali za Diageo-Serengeti Breweries Limited (SBL), Stanley Samtu na...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yazindua kampeni maalumu kuhamasisha matumizi ya kadi zake mpya za ‘Faida’.

BENKI ya EximTanzania imezindua kampeni inayolenga kuwahamasisha wateja wake juu ya matumizi ya kadi zake mpya za  ‘Faida Chip and PIN Debit card’ ambazo zimeundwa  kwa kuzingatia vigezo vya kiusalama zaidi.
Kwa mujibu wa Meneja Bidhaa wa benki hiyo Bw. Aloyce Maro hatua hiyo ni sehemu ya jitiahada za benki hiyo kuhakikisha kwamba huduma zake zinatolewa kwa uhakika na usalama zaidi kwa faida ya wateja wake.
“Lengo kubwa la kampeni hii ni kuwahamasisha wateja wetu juu ya matumizi ya kadi zetu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yazindua tawi Turiani

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amezindua jengo jipya la tawi jipya la NMB Turiani katika wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro. Uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki ambapo zaidi...

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAZINDUA TAWI GONGO LA MBOTO

Benki ya NMB leo imefungua tawi jipya maeneo ya Gongo la mboto- Dar es Salaam tawi linalokadiriwa kuhudumia zaidi ya wateja 300 kwa siku. Tawi hili lipo karibu na kituo cha dala dala cha Mzambarauni mkabala na kituo cha mafuta Oil com.
Tawi hili linatoa huduma kwa wakazi wa Chanika,Pugu,Majohe,Kitunda,Mongo la ndege na maeneo yote ya karibu.Vile vile huduma zote za kibenki zinapatikana katika tawi hili zikiwamo ufunguzi wa akaunti mbali mbali,Huduma za mikopo pamoja na huduma za...

 

9 years ago

Global Publishers

NMB yazindua mfumo wa kisasa wa taarifa za mikopo

NMB-1Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc Ineke Bussemaker akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa za mikopo uliozinduliwa na Benki hiyo. Mfumo huo utatutumika kwenye kanzi data ya Mikopo ya Benki hiyo ( CRB’s) kwa lengo la kuwawezesha wateja wakubwa na wadogo wa wanaoomba mikopo kuipata ndani ya siku 1 hadi 4 .NMB -2Afisa Mkuu Udhibiti wa Hasara wa Benki ya NMB Bw. Tom Borghols (wa pili kutoka kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari (hawapo...

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAZINDUA MATAWI MAPYA TABORA NA SHINYANGA

Benki ya NMB hivi karibuni imezindua matawi mapya mawili yaliyopo kwenye mikoa ya Tabora na Shinyanga. Hii ni habari njema kwa wakazi wa maeneo hayo na kwa wateja wa benki ya NMB kwa ujumla ambapo awali walitembea umbali mrefu kwa ajili ya kupata huduma za kibenki.
Kuongeza matawi hayo yanamaanisha NMB imewafikia wateja wake katika kila wilaya nchini.
Uzinduzi wa matawi hayo NMB Kaliua na NMB Kishapu yamezidi kuongeza idadi ya matawi ya NMB yaliyotapakaa nchi nzima kuwa zaidi ya 170.
Tawi...

 

10 years ago

Vijimambo

BENKI YA NMB YAZINDUA 'MASTERCARD DEBIT' ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa (katikati) pamoja wakurugenzi wa Benki ya NMB wakikishangilia kikundi cha sanaa kilichotumbuiza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya MasterCard itakayoanza kutumika kwa mara ya kwanza kwa wateja wake. Hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Haytt Regency zamani Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam.Wadau wa benki ya NMB pamoja na wageni waalikwa wakisikiliza kwa umakini hotuba ya mgeni rasmi ambaye alikuwa ni Rais mstaafu wa awamu ya tatu...

 

9 years ago

Michuzi

NMB YAZINDUA RASMI JENGO LAKE JIPYA LA MAKAO MAKUU

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo jipya la makao makuu ya NMB na tawi jipya la NMB Private Banking kwenye jengo la makao makuu ya NMB jana jijini Dar es Salaam. Wakishuhudia tukio hilo ni Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa NMB – Prof. Joseph Semboja(kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa NMB – Ineke Bussemaker (wapili kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam – Saidi Meck Sadiki (kulia) pamoja na wafanyakazi wa NMB.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani