Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB YAZINDUA RASMI JENGO LAKE JIPYA LA MAKAO MAKUU

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo jipya la makao makuu ya NMB na tawi jipya la NMB Private Banking kwenye jengo la makao makuu ya NMB jana jijini Dar es Salaam. Wakishuhudia tukio hilo ni Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa NMB – Prof. Joseph Semboja(kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa NMB – Ineke Bussemaker (wapili kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam – Saidi Meck Sadiki (kulia) pamoja na wafanyakazi wa NMB.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Jengo la Polisi Makao Makuu Dar, Lanusurika Kuwaka Moto

BREAKINGNEWS3Jengo la Ghorofa ya 4 la Jeshi la Polisi Makao Makuu jijini Dar es Salaam leo limenusurika kuwaka moto baada ya kutokea cheche za umeme ndani ya jengo hilo na kusababisha taharuki kabla ya Kikosi cha Zimamoto kufanikiwa kuudhiti.

Kwa Taarifa zaidi endelea kufuatilia taarifa zetu.

 

5 years ago

Michuzi

MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA UMOJA POSTA AFRIKA JIJINI ARUSHA.


Na:Vero Ignatus-Arusha.
Zaidi ya shilingi bilioni 38 zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la kisasa lenye jumla ya  ghorofa 17 ambalo linajengwa kwa ubia Kati ya Umoja wa Post Afrika (PAPU) na serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya mawasiliano Nchini (TCRA).
Ni miezi sita sasa tangu kuzinduliwa shughuki za ujenzi kwa kuwekewa jiwe la msingi na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na mawasiliano mnamo januari 18 mwaka 2020 zoezi lililo ongozwa Mhandisi Isack Kamwelwe alie ambatana na viongozi...

 

5 years ago

Michuzi

TAMISEMI YAKAMILISHA UJENZI WA JENGO LAO LA OFISI KUU, MAKAO MAKUU YA TARURA

OFISI ya Rais TAMISEMI imejidhihirisha kwamba ni Ofisi ya wananchi kwa kuamua kufanya mambo magumu ambayo kwa jicho la kawaida unaweza kusema hayawezekani.

Hii imejidhirisha baada ya Waziri anayeongoza wizara hiyo kuwapongeza watu wake kwa kufanikisha ujenzi wa majengo mawili ya Kisasa katika Mji wa Serikali.

Majengo hayo ni jengo la Ofisi kuu ya TAMISEMI  na jengo la Makao Makuu ya TARURA.

Majengo hayo ambayo yamejengwa kwa maelekezo na usimamizi wa Waziri Jafo yamekuwa ni kivutio kikubwa...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KUANZA KUTUMIA JENGO LA MAKAO MAKUU DODOMA MWISHO WA MWEZI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, ametembelea na kukagua maendeleo  na marekebisho ya jengo ambalo lilikabidhiwa kwa Jeshi la Polisi na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli,.Katika ukaguzi huo, IGP Sirro, ameelekeza kukamilishwa kwa ghorofa ya pili na ya tatu ambayo inakisiwa kugharimu kati ya shilingi milioni 150 hadi milioni 200 tayari kwa matumizi ya maafisa na askari ambao wanatarajiwa kuwasili jijini Dodoma mwishoni mwa mwezi huu. IGP Sirro...

 

10 years ago

Michuzi

IGP MANGU AKAGUA UJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA POLISI MKOA WA MANYARA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu, (aliyevaa koti jeusi) akikagua ujenzi wa jengo la kisasa la Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara, ujenzi ambao unatarajiwa kukamilika hivi karibuni.(Picha na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi)

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JKT DODOMA,YAMPONGEZA MEJA JENERALI MBUGE

 Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Juma Kimori (aliyenyoosha mkono) akimwelezea jambo Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali, Charles Mbuge ( wapili kushoto) wakati wafanyakazi wa benki hiyo, walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Juma Kimori (wa kwanza kushoto) akimpongeza Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali, Charles Mbuge (katikati) kwa kupandishwa cheo kuwa Mkuu wa JKT, wakati...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU KAILIMA AKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UHAMIAJI MAKAO MAKUU JIJINI DODOMA

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Wa pili kushoto), akifafanua jambo kwa Wasimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Jengo la  Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Nchini,  SUMA JKT pamoja na baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, alipokuwa katika Ziara ya Kukagua  Maendeleo ya Ujenzi huo, Jijini Dodoma leo. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Wa tatu kushoto), akikagua Mradi wa Ujenzi wa Jengo la  Makao...

 

10 years ago

Michuzi

TPSC yazindua jengo jipya jijini Mbeya

Waziri wa  Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani akikata utepe kuzindua jengo jipya litakalotumiwa na TPSC tawi la Mbeya eneo la Soko Matola, jijini hapa, kulia ni Mkuu wa TPSC Said Hamis Nassor na kushoto ni Meya wa Jiji la Mbeya, Athanas Kapunga.Waziri wa  Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani akishusha pazia kuashiria uzinduzi wa jengo jipya litakalotumiwa na TPSC tawi la Mbeya eneo la Soko Matola, kulia ni Musa Zungira,Mkurugenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani