Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JESHI LA POLISI KUANZA KUTUMIA JENGO LA MAKAO MAKUU DODOMA MWISHO WA MWEZI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, ametembelea na kukagua maendeleo  na marekebisho ya jengo ambalo lilikabidhiwa kwa Jeshi la Polisi na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli,.Katika ukaguzi huo, IGP Sirro, ameelekeza kukamilishwa kwa ghorofa ya pili na ya tatu ambayo inakisiwa kugharimu kati ya shilingi milioni 150 hadi milioni 200 tayari kwa matumizi ya maafisa na askari ambao wanatarajiwa kuwasili jijini Dodoma mwishoni mwa mwezi huu. IGP Sirro...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Jengo la Polisi Makao Makuu Dar, Lanusurika Kuwaka Moto

BREAKINGNEWS3Jengo la Ghorofa ya 4 la Jeshi la Polisi Makao Makuu jijini Dar es Salaam leo limenusurika kuwaka moto baada ya kutokea cheche za umeme ndani ya jengo hilo na kusababisha taharuki kabla ya Kikosi cha Zimamoto kufanikiwa kuudhiti.

Kwa Taarifa zaidi endelea kufuatilia taarifa zetu.

 

10 years ago

Michuzi

IGP MANGU AKAGUA UJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA POLISI MKOA WA MANYARA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu, (aliyevaa koti jeusi) akikagua ujenzi wa jengo la kisasa la Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara, ujenzi ambao unatarajiwa kukamilika hivi karibuni.(Picha na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi)

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU KAILIMA AKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UHAMIAJI MAKAO MAKUU JIJINI DODOMA

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Wa pili kushoto), akifafanua jambo kwa Wasimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Jengo la  Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Nchini,  SUMA JKT pamoja na baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, alipokuwa katika Ziara ya Kukagua  Maendeleo ya Ujenzi huo, Jijini Dodoma leo. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Wa tatu kushoto), akikagua Mradi wa Ujenzi wa Jengo la  Makao...

 

10 years ago

Michuzi

FREEMAN MBOWE AFIKA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI KWA MAHOJIANO

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe Freeman Mbowe akiwasili kwenye makao makuu ya Jeshi la Polisi nchini,Mapema leo asubuhi tayari kwa kwenda kuhojiwa juu masuala mbalimbali likiwamo la kauli aliyoitoa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho hivi katibuni, kuwa watafanya maandamano nchini nzima bila kikomo. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHADEMA,FREEMAN MBOWE AFIKA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI KWA MAHOJIANO LEO

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Freeman Mbowe akiwasili kwenye makao makuu ya Jeshi la Polisi nchini,Mapema leo asubuhi tayari kwa kwenda kuhojiwa juu kauli aliyoitoa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho hivi katibuni,kuwa watafanya maandamano nchini nzima bila kikomo. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),John Mnyika akizungumza na waandishi wa habari waliokuwepo kwenye eneo la makao makuu ya Jeshi la Polisi,juu ya kile kilichokuwa...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KM 51.2 MJI WA SERIKALI PAMOJA NA KUFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA TARURA JIJINI DODOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff kuhusu mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa ujenzi wa Barabara za...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KATIKA MJI WA SERIKALI, AFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA TARURA NA OFISI ZA ZIMAMOTO MAKOLE JIJINI DODOMA, LEO

 Rais Dk. John Magufuli akiendesha moja ya pikipiki ambazo alizikabidhi kwa Maafisa Tarafa wa nchi nzima katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma
 Rais Dk. John Magufuli akipiga akizindua jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo
 Rais Dkt. John Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo itakayotumika katika katika ujenzi wa Barabara za lami yenye jumla ya km 51.2...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AKUTANA NA MAAFISA WAANDAMIZI WA MAGEREZA WALIOHAMISHIWA MAKAO MAKUU YA JESHI HILO DODOMA HIVI KARIBUNI



Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akizungumza katika kikao kazi na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza ambao wamehamishiwa hivi karibuni Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, jijini Dodoma. Kikao hicho kimefanyika leo Mei 19, 2020 kwa lengo la kupeana mikakati mbalimbali ya kazi sambamba na maelekezo ya utekelezaji wa mageuzi yanaendelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani