Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Johnnie Walker yazindua kampeni mpya ya “Furaha Itakufikisha Mbali”

CAMPIX PRODUCTION

Meneja Chapa (pombe kali) wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Shomari Shija (wa kwanza kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya Johnnie Walker iliyopewa jina la “Furaha itakufikisha mbali” yenye lengo la kuhamasisha watu kuwa na utamaduni wa kupenda na kufurahia kile wanachokifanya katika kujiletea maendeleo binafsi. (katikati) ni Mkuu wa masoko bidhaa za pombe kali za Diageo-Serengeti Breweries Limited (SBL), Stanley Samtu na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Msanii Tekno Miles kunogesha tamasha la Johnnie Walker

 Msanii Tekno Miles (wa kwanza kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla iliyomtambulisha rasmi kwa waandishi wa habari iliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Msanii huyo anatarajiwa kuburudisha katika Tamasha la mwisho la “Grown and Sexy, the Gold finale” litakalofanyika katika ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga karibu na Best Bite katika mkesha wa mwaka mpya ambapo pia atafunga rasmi mfululizo wa matamasha hayo ya Grown And Sexy...

 

9 years ago

Dewji Blog

Msanii Tekno Miles kunogesha Tamasha la Johnnie Walker “Grown & Sexy The Gold Finale”

CAMPIX PRODUCTION

Meneja Chapa (pombe kali) wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Shomari Shija (wa kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam wakati wa hafla ya kumtambulisha rasmi Msanii Tekno Miles (Katikati) ambaye anatarajiwa kuporomosha burudani ya nguvu kwenye Tamasha la mwisho la “Grown and Sexy, the Gold finale” litakalofanyika katika ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga karibu na Best Bite katika mkesha wa mwaka mpya. (wa pili...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YAZINDUA KAMPENI MPYA YA JIHUDUMIE

Benki ya NMB imezindua kampeni mpya ya Jihudumie yenye lengo la kuwezesha upatikanaji wa haraka wa huduma mbalimbali za benki hiyo. Akizindua kampeni hiyo jijini Dar es Salaam Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bw. Mark Wiessing alisema mbali ya upatikanaji wa huduma haraka, kampeni hiyo itawezesha huduma kupatikana muda wowote na mahali popote.
Sasa wateja wa NMB wanaweza kupata huduma bila kwenda katika tawi la NMB. “Tunapenda kuwafahamisha wateja wetu kwamba sasa wanaweza kupata huduma za...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yazindua kampeni maalumu kuhamasisha matumizi ya kadi zake mpya za ‘Faida’.

BENKI ya EximTanzania imezindua kampeni inayolenga kuwahamasisha wateja wake juu ya matumizi ya kadi zake mpya za  ‘Faida Chip and PIN Debit card’ ambazo zimeundwa  kwa kuzingatia vigezo vya kiusalama zaidi.
Kwa mujibu wa Meneja Bidhaa wa benki hiyo Bw. Aloyce Maro hatua hiyo ni sehemu ya jitiahada za benki hiyo kuhakikisha kwamba huduma zake zinatolewa kwa uhakika na usalama zaidi kwa faida ya wateja wake.
“Lengo kubwa la kampeni hii ni kuwahamasisha wateja wetu juu ya matumizi ya kadi zetu...

 

9 years ago

Michuzi

HUAWEI YAZINDUA KAMPENI YA “JIEKOTISHE”

Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Huawei Tanzania, Samson Majwala (katikati) na akionyesha Mkuu wa Bidhaa za Rejareja, Sylvester Manyara wakionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) simu zilizoingia kwenye kampeni maalum ya Msimu wa Sikukuu ijulikanayo kama “Jiekotishe na Huawei”, wakati wa uzinduzi wake uliofanyika leo Jijini Dar es salaam. Kulia Meneja Masoko wa Kampuni ya Huawei Tanzania, Lyidia Wangari.Meneja Masoko wa Kampuni ya Huawei Tanzania, Lyidia Wangari,...

 

11 years ago

Mwananchi

Benki yazindua kampeni ufanisi

Benki ya Exim imezindua kampeni maalumu maarufu kama Power of Service, inayolenga kuongeza ufanisi wa benki hiyo hususan utoaji huduma.

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yazindua kampeni ya Jihudumie

BENKI ya NMB imezindua kampeni ya Jihudumie yenye lengo la kumwezesha mteja kupata huduma kirahisi kwa kujihudumia mahali alipo. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa huduma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani