Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msanii Tekno Miles kunogesha tamasha la Johnnie Walker

 Msanii Tekno Miles (wa kwanza kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla iliyomtambulisha rasmi kwa waandishi wa habari iliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Msanii huyo anatarajiwa kuburudisha katika Tamasha la mwisho la “Grown and Sexy, the Gold finale” litakalofanyika katika ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga karibu na Best Bite katika mkesha wa mwaka mpya ambapo pia atafunga rasmi mfululizo wa matamasha hayo ya Grown And Sexy...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Msanii Tekno Miles kunogesha Tamasha la Johnnie Walker “Grown & Sexy The Gold Finale”

CAMPIX PRODUCTION

Meneja Chapa (pombe kali) wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Shomari Shija (wa kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam wakati wa hafla ya kumtambulisha rasmi Msanii Tekno Miles (Katikati) ambaye anatarajiwa kuporomosha burudani ya nguvu kwenye Tamasha la mwisho la “Grown and Sexy, the Gold finale” litakalofanyika katika ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga karibu na Best Bite katika mkesha wa mwaka mpya. (wa pili...

 

9 years ago

Dewji Blog

Johnnie Walker yazindua kampeni mpya ya “Furaha Itakufikisha Mbali”

CAMPIX PRODUCTION

Meneja Chapa (pombe kali) wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Shomari Shija (wa kwanza kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya Johnnie Walker iliyopewa jina la “Furaha itakufikisha mbali” yenye lengo la kuhamasisha watu kuwa na utamaduni wa kupenda na kufurahia kile wanachokifanya katika kujiletea maendeleo binafsi. (katikati) ni Mkuu wa masoko bidhaa za pombe kali za Diageo-Serengeti Breweries Limited (SBL), Stanley Samtu na...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Tekno Miles (Nigeria) — Anything

Anaitwa Augustin Miles a.k.a Tekno Miles, au kama anavyofahamika kwao kama Chris Brown wa Nigeria. Hii ni video yake mpya ya wimbo wake uitwao ‘Anything’.

 

9 years ago

Global Publishers

Gigy, msanii Tekno ukweli waanikwa

IMG-20151128-WA0016Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’.

Mayasa Mariwata na Imelda Mtema
Siri imefichuka! Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameibua gumzo baada ya ukweli kuanikwa kwamba alilala kwenye Hoteli ya Serena iliyopo Posta jijini Dar akijiachia na msanii kutoka Nigeria, Tekno Miles.

Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika, usiku wa kuamkia Ijumaa, mrembo huyo alionekana akijiachia na jamaa huyo ambaye alitua Bongo kwa...

 

9 years ago

Bongo5

Msanii wa Nigeria, Tekno akanusha kuwahi ‘kutembea’ na Masogange

Msanii wa Nigeria anayehit na wimbo wake uitwao Duro amekanusha kuwa aliwahi kuwa na uhusiano na Agnes Masogange. Miezi kadhaa iliyopita ziliwahi kuwepo tetesi kuwa msanii huyo ni mmoja wa wanaume waliofaidi umbo la video vixen huyo mwenye umbo la utata. Masogange aliwahi kupost mfululizo wa picha za Tekno kwenye Instagram kuonesha mahaba mazito kwake, […]

 

10 years ago

Mtanzania

Rebecca Malope kunogesha Tamasha la Pasaka

Rebecca MalopeNa Mwandishi Wetu

RAIA wa Afrika Kusini ambaye ni mwanamuziki wa injili, Rebecca Malope, amethibitisha kuwa mmoja wa waimbaji wa kimataifa watakaotumbuiza kwenye Tamasha la Pasaka litakalofanyika nchini.

Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, sambamba na Malope, Afrika Kusini wanatarajia kutoka waimbaji wengine wawili ambao ni Solly Mahlangu na Sipho Makabane.

Msama alisema waimbaji wengine waliokubali kutumbuiza kwenye tamasha hilo ni pamoja na Ephraim...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani