Gigy, msanii Tekno ukweli waanikwa
Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’.
Mayasa Mariwata na Imelda Mtema
Siri imefichuka! Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameibua gumzo baada ya ukweli kuanikwa kwamba alilala kwenye Hoteli ya Serena iliyopo Posta jijini Dar akijiachia na msanii kutoka Nigeria, Tekno Miles.
Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika, usiku wa kuamkia Ijumaa, mrembo huyo alionekana akijiachia na jamaa huyo ambaye alitua Bongo kwa...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Msanii Tekno Miles kunogesha tamasha la Johnnie Walker
10 years ago
Bongo522 Oct
Msanii wa Nigeria, Tekno akanusha kuwahi ‘kutembea’ na Masogange
9 years ago
Dewji Blog31 Dec
Msanii Tekno Miles kunogesha Tamasha la Johnnie Walker “Grown & Sexy The Gold Finale”
Meneja Chapa (pombe kali) wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Shomari Shija (wa kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam wakati wa hafla ya kumtambulisha rasmi Msanii Tekno Miles (Katikati) ambaye anatarajiwa kuporomosha burudani ya nguvu kwenye Tamasha la mwisho la “Grown and Sexy, the Gold finale” litakalofanyika katika ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga karibu na Best Bite katika mkesha wa mwaka mpya. (wa pili...
10 years ago
Habarileo30 Apr
Mpango wa maendeleo waanikwa kwa wabunge
MPANGO wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2015/16 umewasilishwa katika kamati ya mpango wa Bunge zima, huku shabaha ikilengwa katika kuimarisha utengamavu wa viashiria vya uchumi kwa kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani na kupunguza utegemezi.
11 years ago
BBCSwahili02 Sep
9 years ago
Michuzi07 Dec
10 years ago
Bongo501 Oct
Music: Gigy Money — Majojorijo