Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Gigy Money — Majojorijo

Mwanadada Gigy Money ameachia wimbo mpya unaitwa “Majojorijo”.Mtaarishaji ni C9 kutoka C9 Records. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

9 years ago

TheCitizen

There is no money in music, says Maunda Zorro

he was at one point considered as one of the brightest stars of Bongo Flava and after years in oblivion singer Maunda Zorro has thrown in the towel.

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: VANESSA MDEE "Vee Money" - NEVER EVER (Download)




Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

9 years ago

Global Publishers

Gigy, msanii Tekno ukweli waanikwa

IMG-20151128-WA0016Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’.

Mayasa Mariwata na Imelda Mtema
Siri imefichuka! Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameibua gumzo baada ya ukweli kuanikwa kwamba alilala kwenye Hoteli ya Serena iliyopo Posta jijini Dar akijiachia na msanii kutoka Nigeria, Tekno Miles.

Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika, usiku wa kuamkia Ijumaa, mrembo huyo alionekana akijiachia na jamaa huyo ambaye alitua Bongo kwa...

 

9 years ago

Global Publishers

Gigy: Kuna Mbongo Muvi anataka uchafu

IMG-20151128-WA0016Muuza nyago maarufu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’.

Na Mayasa Mariwata

MUUZA nyago maarufu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amefunguka kuwa kuna staa wa kike kutoka Bongo Muvi amekuwa akimsumbua mara kwa mara kwa kumshawishi afanye naye vitendo vya kichafu.

Gigy alisema kuwa, Mbongo Muvi huyo (jina linahifadhiwa) awali aliingia kwa gia ya kutaka wawe marafiki katika mambo ya kazi lakini kadiri siku zilivyosonga mbele na kuzoeana naye ndipo akamfungukia anataka wafanye naye mchezo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani