Watu maarufu waanikwa mitandaoni ulaya
Watu maarufu huko barani ulaya picha zao zaanikwa mitandaoni
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Mbunifu wa mavazi ya watu maarufu aliyejiua kwa madeni
MBUNIFU wa mitindo na mwanamitindo maarufu wa Marekani, L’Wren Scott, alikutwa amefariki dunia nyumbani kwake hivi karibuni. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi jijini Manhattan, New York, inasema Laura ‘Luann’...
9 years ago
Bongo503 Dec
Baghdad kuachia wimbo mpya wenye sauti za watu maarufu/mashuhuri 70 Ijumaa hii!
![baghdad](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/baghdad-300x194.jpg)
Rapper Baghdad anaachia wimbo mpya Ijumaa hii, wimbo ambao mwenywe anasema utavunja rekodi kutokana na kutumia sauti za watu maarufu/mashuhuri 70.
Katika wimbo huo unaoitwa ‘Unaakili wewe?” kamshirikisha Roma.
Kupitia Instagram Baghdad ambaye ameoa hivi karibuni na kupata mtoto wa kwanza, ameandika:
“Wimbo mpya wa baghdad na Roma unatoka tarehe….4th december Ijumaa!! Wimbo huo umevunja rekodi, kwakuwa wimbo uliohusisha watu maarufu/mashuhuri zaidi ya 50! Ndani ya wimbo huo utawasikia watu...
11 years ago
CloudsFM12 Jun
BRIAN TRACY nmzungumzaji maarufu ambae uzungumza na zaidi ya watu 250000 kila mwaka
BRIAN TRACY ni mzungumzaji maarufu ambae uzungumza na zaidi ya watu 250000 kila mwaka na kampuni yake ya BRIAN TRACY International imekuwa ikitoa mafunzo yanayohusaidia mtu, au kampuni kufikia malengo ya biashara yake kwa haraka zaidi.
Brian Tracy amefanya kazi na kampuni zaidi ya 1000 amezungumza na zaidi ya watu milioni 5 katika mikutano 5000 aliyofanya ndani ya Marekani, Canada na nchi 55 nyingine duniani. Leo hii alikuwa kwenye Powerbreakfast.
5 years ago
BBCSwahili06 May
Virusi vya Corona: Misiba ya watu maarufu iliyoibua gumzo la corona Tanzania
9 years ago
BBCSwahili13 Nov
Polisi Ulaya washikilia watu 17
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Gigy, msanii Tekno ukweli waanikwa
Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’.
Mayasa Mariwata na Imelda Mtema
Siri imefichuka! Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameibua gumzo baada ya ukweli kuanikwa kwamba alilala kwenye Hoteli ya Serena iliyopo Posta jijini Dar akijiachia na msanii kutoka Nigeria, Tekno Miles.
Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika, usiku wa kuamkia Ijumaa, mrembo huyo alionekana akijiachia na jamaa huyo ambaye alitua Bongo kwa...