Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB YAZINDUA MATAWI MAPYA TABORA NA SHINYANGA

Benki ya NMB hivi karibuni imezindua matawi mapya mawili yaliyopo kwenye mikoa ya Tabora na Shinyanga. Hii ni habari njema kwa wakazi wa maeneo hayo na kwa wateja wa benki ya NMB kwa ujumla ambapo awali walitembea umbali mrefu kwa ajili ya kupata huduma za kibenki.
Kuongeza matawi hayo yanamaanisha NMB imewafikia wateja wake katika kila wilaya nchini.
Uzinduzi wa matawi hayo NMB Kaliua na NMB Kishapu yamezidi kuongeza idadi ya matawi ya NMB yaliyotapakaa nchi nzima kuwa zaidi ya 170.
Tawi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

NMB YAZINDUA HUDUMA YA BIMA ITAKAYOPATIKANA MATAWI YAKE YOTE NCHINI

  Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi, Biashara Ndogo na za Kati, Filbert Mponzi (kushoto) na Kamishna wa Bima kutoka katika Mamlaka ya Bima nchini (TIRA), Dkt. Mussa Juma wakizindua NMB Bancassurance. Katikati ni Meneja wa Usimaimizi wa Fedha, B.o.T, Mussa Sadat.
  Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi Biashara Ndogo na za Kati, Filbert Mponzi (katikati) akiwa na Kamishna wa Bima kutoka  Mamlaka ya Bima nchini (TIRA), Dkt. Mussa Juma (kushoto) wakati wa uzinduzi wa NMB Bancassurance uliofanyika jijini Dar...

 

10 years ago

Dewji Blog

FNB yafungua matawi mapya

1

Meneja Usambazaji na Matawi, Bi. Masala Korosso wa FNB Tanzania akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa matawi mapya ya benki hiyo yaliyofunguliwa Sinza Kijiweni na Mbagala Zakhem kwa lengo kusogeza huduma kwa wateja pamoja na kuhudumia biashara ndogo na za kati zinazokua kwa kasi katika maeneo hayo. Kushoto ni Meneja Huduma za Rejareja wa Benki hiyo Emmanuel Mongella (Picha: Executive Solutions).

2

Meneja Huduma za Rejareja wa FNB Tanzania Emmanuel Mongella Meneja Usambazaji...

 

10 years ago

Vijimambo

MJUMBE WA HALMASHAURI KUU CHADEMA ,JAFARY MICHAEL AFUNGUA MATAWI MAPYA MOSHI

Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chadema na meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi katika kata ya Longuo mjini Moshi.Ofisi mpya ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kata ya Longuo B .Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chadema taifa na meya wa manispaa ya Moshi,Jafary Michael akikata utepe kufungua ofisi mpya ya kata ya Longuo B.Meya Michael akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kufungua ofisi ya kata ya Chadema.
Katibu wa Chadema mkoa wa...

 

5 years ago

Michuzi

HUDUMA ZA BIMA SASA KUPATIKANA KATIKA MATAWI YOTE YA BENKI YA NMB

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya NMB, Bi. Margaret Ikongo akipongezana na Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka ya Bima nchini (TIRA), Dkt. Mussa Juma baada ya kuzindua, NMB Bancassurance jijini Dar es Salaam. Katikati ni Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi, Biashara Ndogo na za Kati – Filbert Mponzi. Afisa Mkuu wa wateja Binafsi, Biashara ndogo na za kati, Filbert Mponzi (kushoto) na Kamishna wa Bima kutoka katika Mamlaka ya Bima nchini (TIRA), Dkt. Mussa Juma wakizindua NMB Bancassurance. Katikati ni...

 

10 years ago

Michuzi

Zitto Kabwe aongea na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo

 Kiongozi Mkuu wa Chama cha ATC Wazalendo Zitto Kabwe akiongea na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo katika Mkutano Mkuu wa Jimbo la Urambo.  (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA) Wanachama wakimsikiliza kiongozi wao Mkuu. Wanachama wakimsikiliza Kionozi wao Mkuu kwa umakini mkubwa. Katibu Kata Urambo Kati, Mkulila Shabani akizungumza mbelea ya kiongozi Mkuu wa chama na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo  Mwenyeti Kata ya...

 

10 years ago

TheCitizen

Candidates descend on Shinyanga, Tabora

Presidential candidates for the dominant political parties - the ruling CCM’s Dr John Magufuli and the Opposition-backed contender, Mr Edward Lowassa - yesterday hit the campaign trails in Tabora and Shinyanga regions respectively.

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yazindua tawi Turiani

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amezindua jengo jipya la tawi jipya la NMB Turiani katika wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro. Uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki ambapo zaidi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yazindua kampeni ya Jihudumie

BENKI ya NMB imezindua kampeni ya Jihudumie yenye lengo la kumwezesha mteja kupata huduma kirahisi kwa kujihudumia mahali alipo. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa huduma...

 

11 years ago

GPL

‘BALIMI’ FESTIVAL TABORA, SHINYANGA YAPATA WAWAKILISHI

Meneja wa Mauzo wa Kampuni ya Bia nchini (TBL), Robert Kaziwa (kushoto) akimkabidhi  mwakilishi wa kikundi cha Magereza Arts Group zawadi ya kitita cha Shilingi 600,000/= mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Balimi Kanda ya Ziwa ngazi za mikoa Mkoa wa Tabora mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wacheza ngoma wa Magereza Arts Group wakishangilia na kitita cha Shilingi 600,000/=  mara baada ya kuibuka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani