‘BALIMI’ FESTIVAL TABORA, SHINYANGA YAPATA WAWAKILISHI
![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx-I9bzYCzmCjZwre0g*B7ELsIfTl55IKltF*WL3o8z6ZLtYpCcUYmD9TOSYpmngArx*y2U*rBrYjdBKHVWsuRoy/11.jpg?width=650)
Meneja wa Mauzo wa Kampuni ya Bia nchini (TBL), Robert Kaziwa (kushoto) akimkabidhi mwakilishi wa kikundi cha Magereza Arts Group zawadi ya kitita cha Shilingi 600,000/= mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Balimi Kanda ya Ziwa ngazi za mikoa Mkoa wa Tabora mwishoni mwa wiki. Baadhi ya wacheza ngoma wa Magereza Arts Group wakishangilia na kitita cha Shilingi 600,000/= mara baada ya kuibuka...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Ilala yapata wawakilishi Perfect 6
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Azaki yapata wawakilishi wa Bunge la Katiba
WILAYA ya Mvomero imempata mmoja wa wagombea wa uwakilishi wa Bunge Maalumu la Katiba, ambapo jina hilo litapelekwa kwa Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya uteuzi wa wabunge 20 wa...
11 years ago
MichuziCastle Lager Perfect Six yapata wawakilishi wa kwanza fainali za taifa
Ubingwa huo kwa timu ya Schalke 04 inatoa nafasi ya kuwa mwakilishi kutoka kanda ya Kati kugombea nafasi ya kwenda nchini Hispania kutembelea uwanja wa Camp Nou na kushuhudia michezo ya klabu ya Barcelona...
9 years ago
TheCitizen15 Sep
Candidates descend on Shinyanga, Tabora
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-csh7T3_zqw4/VRPLALGIRTI/AAAAAAAHNU8/D115by8tv70/s72-c/NMB%2B087.jpg)
NMB YAZINDUA MATAWI MAPYA TABORA NA SHINYANGA
Kuongeza matawi hayo yanamaanisha NMB imewafikia wateja wake katika kila wilaya nchini.
Uzinduzi wa matawi hayo NMB Kaliua na NMB Kishapu yamezidi kuongeza idadi ya matawi ya NMB yaliyotapakaa nchi nzima kuwa zaidi ya 170.
Tawi...
10 years ago
Michuzi23 Mar
MKURUGENZI MKUU WA NHC AFANYA ZIARA MIKOA YA SINGIDA, TABORA NA SHINYANGA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/113.png)
10 years ago
Dewji Blog23 Mar
Ziara ya Mkurugenzi mkuu wa NHC katika mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu ukitembelea jengo la NHC lililoungua mwaka jana mjini Singida ambapo Shirika linajenga upya jengo jingine katika kiwanja hicho kilichoko katikati ya mji huo.
Jana Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia kyando Mchechu ameanza ziara yake ya kutembelea Mikoa ili kuhimiza utendaji kazi wa viwango na kujionea utekelezaji wa miradi ya nyumba za gharama nafuu katika mikoa atakayotembelea ya Singida, Shinyanga, Tabora, Kigoma,...
10 years ago
Vijimambo23 Mar
Mkurugenzi mkuu wa nhc afanya ziara katika mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/113.png)
Jana Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia kyando Mchechu ameanza ziara yake ya kutembelea Mikoa ili kuhimiza utendaji kazi wa viwango na kujionea utekelezaji wa miradi ya nyumba za gharama nafuu katika mikoa atakayotembelea ya Singida, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Sumbawanga,Katavi...
10 years ago
MichuziWANA CCM MKOANI SINGIDA, TABORA NA SHINYANGA WAJITOKEZA KUMDHAMINI WAZIRI MAGUFULI