Candidates descend on Shinyanga, Tabora
Presidential candidates for the dominant political parties - the ruling CCM’s Dr John Magufuli and the Opposition-backed contender, Mr Edward Lowassa - yesterday hit the campaign trails in Tabora and Shinyanga regions respectively.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNMB YAZINDUA MATAWI MAPYA TABORA NA SHINYANGA
Kuongeza matawi hayo yanamaanisha NMB imewafikia wateja wake katika kila wilaya nchini.
Uzinduzi wa matawi hayo NMB Kaliua na NMB Kishapu yamezidi kuongeza idadi ya matawi ya NMB yaliyotapakaa nchi nzima kuwa zaidi ya 170.
Tawi...
11 years ago
GPL‘BALIMI’ FESTIVAL TABORA, SHINYANGA YAPATA WAWAKILISHI
10 years ago
Dewji Blog23 Mar
Ziara ya Mkurugenzi mkuu wa NHC katika mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu ukitembelea jengo la NHC lililoungua mwaka jana mjini Singida ambapo Shirika linajenga upya jengo jingine katika kiwanja hicho kilichoko katikati ya mji huo.
Jana Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia kyando Mchechu ameanza ziara yake ya kutembelea Mikoa ili kuhimiza utendaji kazi wa viwango na kujionea utekelezaji wa miradi ya nyumba za gharama nafuu katika mikoa atakayotembelea ya Singida, Shinyanga, Tabora, Kigoma,...
10 years ago
Michuzi23 Mar
MKURUGENZI MKUU WA NHC AFANYA ZIARA MIKOA YA SINGIDA, TABORA NA SHINYANGA
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu ukitembelea jengo la NHC lililoungua mwaka jana mjini Singida ambapo Shirika linajenga upya jengo jingine katika...
10 years ago
Vijimambo23 Mar
Mkurugenzi mkuu wa nhc afanya ziara katika mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga
Jana Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia kyando Mchechu ameanza ziara yake ya kutembelea Mikoa ili kuhimiza utendaji kazi wa viwango na kujionea utekelezaji wa miradi ya nyumba za gharama nafuu katika mikoa atakayotembelea ya Singida, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Sumbawanga,Katavi...
10 years ago
MichuziWANA CCM MKOANI SINGIDA, TABORA NA SHINYANGA WAJITOKEZA KUMDHAMINI WAZIRI MAGUFULI
10 years ago
Michuzi23 Mar
9 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA ZIARA SOKO KUU SHINYANGA.
9 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA MKUTANO NA AKINA MAMA ZAIDI YA 300 KUPAMBA NA KIPINDUPINDU SHINYANGA
Hapa ni katika ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga ambako wanawake/akina mama zaidi ya 300 wa manispaa ya Shinyanga wamekutana kujadili namna ya kupambana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umeukumba mkoa wa Shinyanga.Mkutano huo umeitishwa na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro.Akina mama hao waliojitokeza kwa wingi leo jioni Oktoba 06,2015 wameweka mikakati mbalimbali ya kutokemeza ugonjwa kipindupindu ambapo Jana pekee wagonjwa 9 wamelazwa katika kambi maalum jirani na hospital ya...