Ziara ya Mkurugenzi mkuu wa NHC katika mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu ukitembelea jengo la NHC lililoungua mwaka jana mjini Singida ambapo Shirika linajenga upya jengo jingine katika kiwanja hicho kilichoko katikati ya mji huo.
Jana Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia kyando Mchechu ameanza ziara yake ya kutembelea Mikoa ili kuhimiza utendaji kazi wa viwango na kujionea utekelezaji wa miradi ya nyumba za gharama nafuu katika mikoa atakayotembelea ya Singida, Shinyanga, Tabora, Kigoma,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo23 Mar
Mkurugenzi mkuu wa nhc afanya ziara katika mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga
Jana Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia kyando Mchechu ameanza ziara yake ya kutembelea Mikoa ili kuhimiza utendaji kazi wa viwango na kujionea utekelezaji wa miradi ya nyumba za gharama nafuu katika mikoa atakayotembelea ya Singida, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Sumbawanga,Katavi...
10 years ago
Michuzi23 Mar
MKURUGENZI MKUU WA NHC AFANYA ZIARA MIKOA YA SINGIDA, TABORA NA SHINYANGA
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu ukitembelea jengo la NHC lililoungua mwaka jana mjini Singida ambapo Shirika linajenga upya jengo jingine katika...
10 years ago
Dewji Blog28 Mar
Ziara ya Mkurugenzi mkuu wa NHC katika mikoa kukagua miradi
Mwonekano wa sasa wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la Mlole Kigoma
Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la Ilembo Katavi. Nyumba hizo 70 zimeshakamilika na zinauzwa kwa wananchi wote wanaohitaji.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na akiwa eneo la Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi kukagua eneo ambalo ujenzi wa nyumba za gharama nafuu umeshaanza.
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu...
9 years ago
Michuzi14 Aug
ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC KATIKA MIKOA YA MTWARA, RUVUMA, NJOMBE NA MBEYA KUKAGUA MIRADI
10 years ago
GPLZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC KATIKA MIKOA YA MTWARA, RUVUMA, NJOMBE NA MBEYA KUKAGUA MIRADI
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,KINANA KUANZA ZIARA YA SIKU 26 KESHO, MIKOA YA TABORA, SINGIDA NA MANYARA
*NI YA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM *KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI
* KUKAGUA MAANDALIZI YA CHAMA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwa na baadhi ya waandishi wa habari watakaoungana na Katibu Mkuu wa CCM, Andulrahman Kinana, katika ziara ya siku 26 katika mikoa ya Tabora, Singida na Manyara itakayoanza kesho katika jimbo la Igunga mkoani Tabora. Nape alipigapicha na na waandishi hao leo baada ya kuzungumza nao kuhusu ziara hiyo,...
11 years ago
GPLTASWIRA ZA ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA PSPF KATIKA MIKOA YA MWANZA, KIGOMA NA MARA
10 years ago
Michuzi23 Mar
10 years ago
Michuzi30 Jan
MKURUGENZI MKUU WA NHC AENDELEA NA ZIARA YAKE MIKOANI