MKURUGENZI MKUU WA NHC AENDELEA NA ZIARA YAKE MIKOANI
Mkurugenzi Mkuu wa NHC BW. Nehemia Kyando Mchechu akiongea na kikundi cha vijana cha Mshikamano Wilayani Muleba alipokitembelea kuona namna kinavtumia mashine zilizotolewa na NHC ili kuongeza ajira kwa vijana. Bw. Mchechu amezitaka Halmashauri za Wilaya nchini kuunga mkono juhudi za NHC kwa kuwapatia vijana maeneo ya kufanyia kazi zao.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC BW. Nehemia Kyando Mchechu akikagua viwanja vya NHC Wilayani Chato vinavyokusudiwa kujengwa nyumba za gharama nafuu ikiwa ni program ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC KUKAGUA MIRADI YA SHIRIKA MIKOANI
10 years ago
Michuzi28 Jan
Ziara ya Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC mikoani



10 years ago
GPL
ZIARA YA MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA NHC MIKOANI
10 years ago
GPL
ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA MIKOANI
10 years ago
Michuzi26 Jan
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa aanza ziara za kukagua miradi Mikoani


BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Dewji Blog30 Jan
Ziara ya Mkurugenzi Mkuu wa NHC Geita na Kagera yahamasisha maendeleo
Mkurugenzi Mkuu wa NHC BW. Nehemia Kyando Mchechu akiongea na kikundi cha vijana cha Mshikamano Wilayani Muleba alipokitembelea kuona namna kinavtumia mashine zilizotolewa na NHC ili kuongeza ajira kwa vijana. Bw. Mchechu amezitaka Halmashauri za Wilaya nchini kuunga mkono juhudi za NHC kwa kuwapatia vijana maeneo ya kufanyia kazi zao.
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC BW. Nehemia Kyando Mchechu ukiwa eneo la Mtukula linapojengwa jingo la kisasa la biashara na NHC ili kuvutia na kuchochea...
10 years ago
Dewji Blog28 Mar
Ziara ya Mkurugenzi mkuu wa NHC katika mikoa kukagua miradi
Mwonekano wa sasa wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la Mlole Kigoma
Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la Ilembo Katavi. Nyumba hizo 70 zimeshakamilika na zinauzwa kwa wananchi wote wanaohitaji.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na akiwa eneo la Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi kukagua eneo ambalo ujenzi wa nyumba za gharama nafuu umeshaanza.
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu...
10 years ago
Michuzi23 Mar
MKURUGENZI MKUU WA NHC AFANYA ZIARA MIKOA YA SINGIDA, TABORA NA SHINYANGA

10 years ago
Dewji Blog23 Mar
Ziara ya Mkurugenzi mkuu wa NHC katika mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu ukitembelea jengo la NHC lililoungua mwaka jana mjini Singida ambapo Shirika linajenga upya jengo jingine katika kiwanja hicho kilichoko katikati ya mji huo.
Jana Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia kyando Mchechu ameanza ziara yake ya kutembelea Mikoa ili kuhimiza utendaji kazi wa viwango na kujionea utekelezaji wa miradi ya nyumba za gharama nafuu katika mikoa atakayotembelea ya Singida, Shinyanga, Tabora, Kigoma,...