Clouds Media Group inakutakia heri ya sikukuu ya mwaka mpya
CloudsFM
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Global Publishers Inakutakia Heri na Fanaka za Mwaka Mpya 2016
Mkurugenzi na wafanyakazi wote wa Global Publishers tunawatakia wasomaji wetu wote wa Magazeti yetu, Tovuti yetu, kurasa zetu za Facebook, Twitter na Instagram heri ya Mwaka Mpya 2016.
Tunawatakia baraka na mafanikio mema kwa huu tuliouanza leo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzPfBre8N7YSp-BYISYN7AgxaxDfolKcJCZ9CEOjYEfJ4jVQQgfqsLD7oXoYQNM1U8b2dYDq*17R9VGPZtn8MHImYo-qNzmj/CloudsMedia0041.png?width=750)
10 years ago
CloudsFM20 Feb
Kusaga: Clouds Media Group haijauzwa kwa Rostam
Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga amesema kuwa Clouds Media Group haijauzwa kwa mfanyabiasha mkubwa hapa nchini,Rostam Aziz kama ambavyo taarifa hizo zilivyokuwa zimeenea kwenye mitandao ya kijamii.
Akizungumza kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo moja kwa moja kutoka nchini Dubai alisema kuwa taarifa hiyo ameisikia na kwamba amekuwa akipigiwa sana simu na wadau mbalimbali kuhusiana na habari hizo na kusema kuwa ni jinsi gani watanzania wamekuwa wakitumia...
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
Kusaga: Habari za kuuzwa Clouds Media Group ni uzushi wa kupuuzwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga.
Na Mwandishi Wetu, Dar
TAHARUKI iliyosambaa jana kwenye mitandao kijamii juu ya kuuzwa kwa Clouds Media Group, inayomiliki Clouds FM, Clouds Tv na Choice FM, zimepata majibu baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Joseph Kusaga, kuibuka na kukataa habari hizo na kuziita ni uzushi wa kupuuzwa.
Habari za kuuzwa kwa kampuni hiyo dhidi ya mfanyabiashara maarufu na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rostam Aziz, zilishika...
10 years ago
GPLCLOUDS MEDIA GROUP WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA MFUKO WA PENSHENI YA PSPF
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-Sl91s7l1XHg/UuDgKHipXtI/AAAAAAACZGM/g-Doig9RQl4/s1600/1.jpg)
WAZIRI MKUU MSTAAFU SUMAYE ATEMBELEA CLOUDS MEDIA GROUP LEO
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-aPQjhxn7Wg4/Vn2euuf_S9I/AAAAAAAIOto/BQgTB_THbpU/s72-c/ca5c547c-ae11-441a-84b2-c8d5c58f54c1.jpg)
NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA SIKUU YA MAULID NA HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA
![](http://3.bp.blogspot.com/-aPQjhxn7Wg4/Vn2euuf_S9I/AAAAAAAIOto/BQgTB_THbpU/s640/ca5c547c-ae11-441a-84b2-c8d5c58f54c1.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-wGwVB_Gm4fc/VObbt9RWqcI/AAAAAAAHEro/t3vQ2wwY5QM/s72-c/IMG-20150219-WA0104.jpg)
MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA GROUP,JOSEPH KUSAGA AKANUSHA TAARIFA YA KUUZWA KWA KITUO CHAKE.
![](http://4.bp.blogspot.com/-wGwVB_Gm4fc/VObbt9RWqcI/AAAAAAAHEro/t3vQ2wwY5QM/s1600/IMG-20150219-WA0104.jpg)