Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA SIKUU YA MAULID NA HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya The Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni inayoongozwa na Kamanda  Ras Makunja yenye maskani nchini ujerumani inawatakieni kila la heri katika siku kuu ya Maulid el Nabii Muhammad(S.W.A) pia Heri ya siku kuu ya Krismasi kwa wadau wote iwena amani,upendo,furaha na mshikamano bila kusahau kupata muziki at www.ngoma-africa.com au www.reverbnation.com/ngomaafricabandjumuika nao at www.facebook.com/ngomaafricaband

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HERI YA MWAKA MPYA 2015 KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni aka "watoto wa mbwa" au viumbe wa ajabu "Anunaki anunnaki aliens" yenye makao nchini Ujerumani,inatoa Salam za heri ya mwaka mpya 2015 kwa wadau wote popote palemlipo,mwaka mpya 2015 uwe wa mafanikio ,Amani na Upendo kwa wote.HAPPY NEW YEAR 2015 ! HAPPY NEW YEAR 2015 ! msikose burudani kamili bofya www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com

 

10 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 53 YA UHURU wa Tanzania

Bendi maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band almaarufu FFU-Ughaibuni yenye makao nchini Ujerumani,inawatakia kila la heri katika kusherehekea miaka 53 ya Uhuru . Salam hizi za heri ya 9 Disemba ziwafikie watanzania wote walio nyumbani na nje ya nchi.Ngoma Africa band chini ya uongozi wake Kamanda ras Makunja unaweza kuwasikiliza pia katika kambi yao ya FFU-ughaibuni bofya http://www.ngoma-africa.com pia at https://itunes.apple.com/album/id947329929 au ...

 

10 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 53 YA UHURU Tanzania Bara (Tanganyika)

Bendi maarufu ya muziki wa dansi  Ngoma Africa Band almaarufu FFU-Ughaibuni yenye makao nchini Ujerumani,inawatakia kila la heri katika kusherehekea miaka 53 ya Uhuru . Salam hizi za heri ya 9 Disemba ziwafikie watanzania wote walio nyumbani na nje ya nchi.Ngoma Africa band chini ya uongozi wake Kamanda ras Makunja unaweza kuwasikiliza pia katika kambi yao ya FFU-ughaibuni bofya http://www.ngoma-africa.com   pia...

 

10 years ago

Vijimambo

NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 53 YA UHURU Tanzania Bara (Tanganyika

Bendi maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band almaarufu FFU-Ughaibuni yenye makao nchini Ujerumani,inawatakia kila la heri katika kusherehekea miaka 53 ya Uhuru . Salam hizi za heri ya 9 Disemba ziwafikie watanzania wote walio nyumbani na nje ya nchi.Ngoma Africa band chini ya uongozi wake Kamanda ras Makunja unaweza kuwasikiliza pia katika kambi yao ya FFU-ughaibuni bofya http://www.ngoma-africa.com pia at https://itunes.apple.com/album/id947329929...

 

10 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND YAITAKIA MSONDO NGOMA BAND HERI YA MIAKA 50 !

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, The  Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni almarufu pia kama viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens wenye makao nchi Ujerumani, inatuma salamu na saluti za kuitakia heri ya miaka 50 bendi kongwe barani afrika MSONDO NGOMA MUSIC BAND aka Baba ya Muziki ya watanzania ambayo mwezi Oktoba 2014 itatimiza miaka 50 na kuweka rekodi ya kuwa bendi kongwe pekee barani Afrika ! 
Kiongozi wa Ngoma Africa band Kamanda Ras Makunja, anaitaja bendi ya Msondo Ngoma ndiyo...

 

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS INAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2015

Mkurugenzi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers wanawatakia wasomaji wetu wote wa mtandao na magazeti yetu heri ya mwaka mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani