Maabara ya mafunzo itembeayo yazinduliwa rasmi
Mganga Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa jamiii, Dk. Magreth Mhando akisoma hotuba ya uzinduzi wa maabara itembeayo kwa ajili ya mafunzo ya upasuaji. Kulia ni Naibu Balozi wa Ireland nchini, Maire Matthews na kushoto ni Mkurugenzi wa ECSA anayeshughulikia Afya ya jamii Prof Yoswa Dambisya.
Na Mwandishi wetu
Mganga Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Magreth Mhando mwishoni mwa juma alizindua maabara ya upasuaji ya mafunzo inayotembea iliyotolewa kwa chuo kitembeacho cha COSECSA...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLMAABARA YA KISASA YA TFDA YAZINDULIWA JIJINI DAR
9 years ago
Habarileo22 Dec
Maabara ya vinasaba ya pili Afrika yazinduliwa MUHAS
TANZANIA inatarajiwa kuanza kuokoa mamilioni ya Shilingi yaliyokuwa yakienda nje ya nchi kwa ajili ya uchunguzi wa vinasaba baada ya kuzindua maabara yake ambayo ni ya pili katika Bara la Afrika.
11 years ago
GPLAZAM TV YAZINDULIWA RASMI
9 years ago
MichuziDAWASCO SACCOS YAZINDULIWA RASMI
Akiongea na wafanyakazi katika uzinduzi huo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco Mhandisi Cyprian Luhemeja amewahimiza wafanyakazi kuitumia Saccos hiyo kujikomboa kiuchumi na kuondokana na utozwaji mkubwa wa riba kutoka kwa baadhi ya taasisi za fedha, hali inayowaumiza...
10 years ago
GPLMAISHA BASEMENT YAZINDULIWA RASMI
10 years ago
Michuzimafunzo ya Programu ya awamu ya pili ya kuboresha taaluma ya walimu na wanafunzi yazinduliwa wilayani same.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Anne Kilango Malecela amewataka walimu wanaofanya kazi katika maeneo wanayotoka kuwa na nidhamu ya kazi ili kuendelea kuinua ubora wa Elimu nchini.
Akizungumza katika uzinduzi wa Programu ya awamu ya pili ya kuboresha taaluma ya walimu na wanafunzi inayoendelea katika wilaya ya Same amesema sababu kubwa ya kushuka kwa taaluma katika wilaya hiyo ni kutokana na walimu kufundisha katika maeneo ya nyumbani. Kitu kinachosababisha muda mwingi...
11 years ago
GPLGLOBAL TV ONLINE YAZINDULIWA RASMI LEO
10 years ago
MichuziFILAMU Going Bongo yazinduliwa rasmi nchini
FILAMU Going Bongo ilizinduliwa rasmi juzi na kuhudhuriwa na mamia ya wadau wa filamu nchini, katika hafla iliyofanyika eneo la Bahari Zoo, jijini Dar es salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuizindua filamu hiyo, Mwigizaji Mkuu wa Going Bongo Ernest Rwandalla alisema kuwa filamu hiyo imeshaanza kuoneshwa kimataifa zaidi kwa kuwa watu mbalimbali duniani wameanza kuifuatilia kwa njia ya I tune.
Alisema kuwa ni filamu ambayo inahusiana na suala la afya...
10 years ago
CloudsFM05 Jan
CLOUDS TV INTERNATIONAL YAZINDULIWA RASMI DUBAI