Maabara ya vinasaba ya pili Afrika yazinduliwa MUHAS
TANZANIA inatarajiwa kuanza kuokoa mamilioni ya Shilingi yaliyokuwa yakienda nje ya nchi kwa ajili ya uchunguzi wa vinasaba baada ya kuzindua maabara yake ambayo ni ya pili katika Bara la Afrika.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV22 Dec
Mwinyi azindua maabara ya utafiti wa Kutambua Sampuli Ya Vinasaba
Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi amezindua maabara ya utafiti wa Vinasaba itakayoiwezesha Tanzania kubaini magonjwa na kuyatibu na hatimaye kupunguza gharama za kusafirisha sampuli kwenda nje ya nchi kwaajili ya uchunguzi.
Tanzania inakua ya pili kwenye nchi za Afrika kuwa na maabara hiyo ya kimataifa baada ya Afrika Kusini na hivyo kunufaika zaidi kupitia nchi nyingine kuleta vinasaba vyao nchini kwajili ya uchunguzi.
Vinasaba ni chembechembe zilizopo kwenye mwili wa...
10 years ago
Dewji Blog29 Jun
Maabara ya mafunzo itembeayo yazinduliwa rasmi
Mganga Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa jamiii, Dk. Magreth Mhando akisoma hotuba ya uzinduzi wa maabara itembeayo kwa ajili ya mafunzo ya upasuaji. Kulia ni Naibu Balozi wa Ireland nchini, Maire Matthews na kushoto ni Mkurugenzi wa ECSA anayeshughulikia Afya ya jamii Prof Yoswa Dambisya.
Na Mwandishi wetu
Mganga Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Magreth Mhando mwishoni mwa juma alizindua maabara ya upasuaji ya mafunzo inayotembea iliyotolewa kwa chuo kitembeacho cha COSECSA...
9 years ago
GPLMAABARA YA KISASA YA TFDA YAZINDULIWA JIJINI DAR
11 years ago
Habarileo03 Jul
Awamu ya pili barabara ya Dodoma-Babati yazinduliwa
AWAMU ya pili ya ujenzi wa barabara ya Dodoma-Babati kwa kiwango cha lami, imezinduliwa huku wananchi wa maeneo ya mradi, wakihakikishiwa na kampuni ijayojenga kwamba watapewa kipaumbele kufanya kazi katika ujenzi huo.
10 years ago
Michuzimafunzo ya Programu ya awamu ya pili ya kuboresha taaluma ya walimu na wanafunzi yazinduliwa wilayani same.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Anne Kilango Malecela amewataka walimu wanaofanya kazi katika maeneo wanayotoka kuwa na nidhamu ya kazi ili kuendelea kuinua ubora wa Elimu nchini.
Akizungumza katika uzinduzi wa Programu ya awamu ya pili ya kuboresha taaluma ya walimu na wanafunzi inayoendelea katika wilaya ya Same amesema sababu kubwa ya kushuka kwa taaluma katika wilaya hiyo ni kutokana na walimu kufundisha katika maeneo ya nyumbani. Kitu kinachosababisha muda mwingi...
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Huduma ya kulipa wanaotembea yazinduliwa Afrika
10 years ago
Vijimambo10 Jul
Ripoti ya UNCTAD ya Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika 2015 Yazinduliwa
![Kulia ni Ofisa Mwandamizi anayeshughulikia Masuala ya Uchumi UN, Laura Paez akifafanua sehemu ya Ripoti ya UNCTAD ya Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika ya Mwaka 2015 kwa wanahabari jijini Dar es Salaam nchini Tanzania. Kushoto ni Ofisa Habari wa Kituo cha Taarifa cha Umoja wa Mataifa Tanzania (UNIC), Stella Vuzo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0671.jpg)
![Ofisa Mwandamizi anayeshughulikia Masuala ya Uchumi UN, Laura Paez akifafanua sehemu ya Ripoti ya UNCTAD ya Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika ya Mwaka 2015 kwa wanahabari jijini Dar es Salaam nchini Tanzania.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_06151.jpg)
Ofisa Mwandamizi anayeshughulikia Masuala ya Uchumi UN, Laura Paez akifafanua sehemu ya Ripoti ya UNCTAD ya Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika ya Mwaka 2015 kwa wanahabari jijini...
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Kuna tofauti ya maabara na majengo ya maabara
11 years ago
Michuzi22 Jul