mafunzo ya Programu ya awamu ya pili ya kuboresha taaluma ya walimu na wanafunzi yazinduliwa wilayani same.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Anne Kilango Malecela amewataka walimu wanaofanya kazi katika maeneo wanayotoka kuwa na nidhamu ya kazi ili kuendelea kuinua ubora wa Elimu nchini.
Akizungumza katika uzinduzi wa Programu ya awamu ya pili ya kuboresha taaluma ya walimu na wanafunzi inayoendelea katika wilaya ya Same amesema sababu kubwa ya kushuka kwa taaluma katika wilaya hiyo ni kutokana na walimu kufundisha katika maeneo ya nyumbani. Kitu kinachosababisha muda mwingi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eBwUntk2EEA/VVzGE9TjikI/AAAAAAAHYqE/PLcHYfS9baA/s72-c/unnamed%2B%252847%2529.jpg)
uzinduzi wa Programu ya awamu ya pili ya kuboresha taaluma ya walimu na wanafunzi wilayani same
11 years ago
Habarileo03 Jul
Awamu ya pili barabara ya Dodoma-Babati yazinduliwa
AWAMU ya pili ya ujenzi wa barabara ya Dodoma-Babati kwa kiwango cha lami, imezinduliwa huku wananchi wa maeneo ya mradi, wakihakikishiwa na kampuni ijayojenga kwamba watapewa kipaumbele kufanya kazi katika ujenzi huo.
5 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS, AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA AJIRA NCHI ZA SADC, PROGRAMU YA MAFUNZO KWA VITENDO YAZINDULIWA
Akizungumza wakati wa ufunguzi huo Samia amesema kuwa mafunzo hayo...
9 years ago
Dewji Blog10 Nov
Awamu ya pili ya wanafunzi waliopangiwa mikopo kwa 2015/2016
Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB ni Bw. George Nyatega.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuutaarifu umma kuwa kuna taarifa zinazosambazwa na baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa Bodi haitatoa mikopo kwa waombaji wapya kwa mwaka wa masomo 2015/2016. Taarifa hizo si za kweli na hivyo Bodi inauomba umma kuzipuuza.
Aidha, Bodi ya Mikopo inapenda kutoa taarifa kwamba hadi sasa imekwishawapangia mikopo jumla ya waombaji mikopo wenye sifa 40,836 wa mwaka wa kwanza. Katika awamu ya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Q-3sTyysARk/VT59UxNHILI/AAAAAAAArxw/qznEj6UycAE/s72-c/MMGL0480.jpg)
Ulega azindua awamu ya pili ya Kampeni ya uhamasishaji ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) Wilayani Kilwa leo
Ulega ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya uhamasiahaji wananchi kujiunga na mfuko wa afya ya jamii (CHF) inafanywa na Mfuko wa taifa wa bima ya afya katika halmashauri kumi nchi nzima iliyozinduliwa kata ya Tingi njia nne wilayani kilwa.
Ulega amesema Serikali kupitia mfuko...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-X634UbgI2ow/VD5EtyIg6RI/AAAAAAAGqk0/-cGDN7ph7XY/s72-c/ABG%2B1.jpg)
AFRICAN BARRICK YASAINI MKATABA WA KUENDELEZA NA KUBORESHA CHUO CHA MUHIMBILI ILI KUBORESHA TAALUMA YA UDAKTARI
Ushirikiano huu utawezesha wanafunzi wa idara hiyo kupata nafasi za kwenda kufanya masomo kwa vitendo yani (field practise) kwenye ofisi na migodi ya kampuni ya ABG, pia pesa hizo zitatumika kwenye kukarabati majendo na utoaji wa vifaa...
11 years ago
MichuziWANAFUNZI WILAYANI BABATI WAPEWA MAFUNZO YA TAHADHARI NA KINGA YA MOTO
Ofisa habari na elimu ya umma wa ofisi ya Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoani Manyara, Koplo Chande Abdallah aliyesimama mbele ya wanafunzi wa shule ya msingi Darajali Wilayani Babati akitoa maelezo ya elimu ya zimamoto na uokoaji.
10 years ago
MichuziMAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AZINDUA WA BARABARA YA MKAPA AWAMU YA PILI
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA TEMEKE NDUGU SOPHIA MJEMA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA SIKU 5 YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI WILAYANI TEMEKE