Ripoti ya UNCTAD ya Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika 2015 Yazinduliwa
Kulia ni Ofisa Mwandamizi anayeshughulikia Masuala ya Uchumi UN, Laura Paez akifafanua sehemu ya Ripoti ya UNCTAD ya Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika ya Mwaka 2015 kwa wanahabari jijini Dar es Salaam nchini Tanzania. Kushoto ni Ofisa Habari wa Kituo cha Taarifa cha Umoja wa Mataifa Tanzania (UNIC), Stella Vuzo.
Ofisa Mwandamizi anayeshughulikia Masuala ya Uchumi UN, Laura Paez akifafanua sehemu ya Ripoti ya UNCTAD ya Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika ya Mwaka 2015 kwa wanahabari jijini...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya Corona: Wanamichezo barani Afrika wapata maumivu ya kiuchumi
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Takwimu sahihi na za wakati zitasaidia kuleta maendeleo kwa haraka barani Afrika
Waziri Mkuu wa Uganda Mhe. Ruhakana Rugunda akiwahutubia washiriki mbalimbali kutoka barani Afrika (hawapo pichani) wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika uliofanyika jana katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Munyoyo Kampala, Uganda. (PICHA NA VERONICA KAZIMOTO – KAMPALA).
Na Veronica Kazimoto, Kampala
WITO umetolewa kwa washiriki wote wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika kuelendelea kutoa takwimu sahihi na kwa wakati ili kuleta maendeleo yanayokusudiwa ya...
10 years ago
Dewji Blog28 Oct
Mkutano wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani Afrika waanza leo Victoria Falls-Zimbabwe
Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Mh. Emmerson Mnangagwa akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa mkutano wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani Afrika unaoendelea muda huu Victoria Falls-Zimbabwe. Ambapo amezitaka nchi za Afrika kuendelea kushikamana katika kukabiliana na mabadiuliko ya tabianchi pamoja na ukuaji wa uchumi. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog)
Baadhi ya washiriki wa mkutano mkubwa wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani...
10 years ago
Dewji Blog18 Jan
Siku ya Posta Barani Afrika kuadhimishwa leo Januari 18, 2015
*Wafanyakazi watoa misaada kwa wazee wa Nunge, Kigamboni
*Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kawawa watembelea Ofisi za Posta Kuu (Mpya), Dar es Salaam
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kawawa, Luhanga Mabibo, wakipatiwa maelezo kuhusu uchambuzi wa barua na vifurushi na Ester Zakayo wa Kitengo cha Box, wakati walipotembelea Posta Kuu, Dar es Salaam jana, ikiwa ni katika maadhimisho ya Siku ya Posta Afrika, inayoadhimishwa nchini leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk- www.bayana.blogspot.com).
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE ACHAGULIWA KUWA KIONGOZI MWENYE MCHANGO MKUBWA ZAIDI KATIKA MAENDELEO BARANI AFRIKA KWA MWAKA 2013
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
UN Tanzania yazindua ripoti ya Teknolojia na Ubunifu 2015, nchi za Afrika hali si nzuri
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez (katikati) akiongozana na Naibu Mkurugenzi wa Utawala, Mipango na Fedha wa Chu cha Diplomasia, Bw. Bernard Achiula (suti nyeusi) mara baada ya kuwasili wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano wa Mozambique uliopo katika Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam.
Naibu Mkurugenzi wa Utawala, Mipango na Fedha wa Chu cha Diplomasia, Bw. Bernard Achiula akitoa neno la...
10 years ago
Michuzi10 Dec
Tathimini ya ripoti mradi wa GEWE yazinduliwa Dar


BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
GPL
TATHMINI YA RIPOTI MRADI WA GEWE YAZINDULIWA DAR
11 years ago
MichuziTANZANIA YAONGOZA MJADALA WA WAZI (OPEN SESSION) WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA KUHUSU WATOTO NA VITA BARANI AFRIKA