Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tathimini ya ripoti mradi wa GEWE yazinduliwa Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Valerie Msoka pamoja na meza kuu wakionesha ripoti ya GEWE mara baada ya uzinduzi wake leo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Valerie Msoka pamoja na meza kuu wakionesha ripoti ya GEWE mara baada ya uzinduzi wake leo jijini Dar es Salaam.Mratibu wa Kituo cha Usuluhishi (CRC), Bi. Gladness Munuo (wa kwanza kushoto) akizungumza katika uzinduzi wa ripoti ya Kutokomeza Ukatili na vitendo vya Unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto (GEWE) leo jijini Dar es SalaamMratibu wa Kituo cha Usuluhishi (CRC), Bi. Gladness Munuo (wa kwanza kushoto) akizungumza katika uzinduzi wa ripoti ya Kutokomeza Ukatili na vitendo vya Unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto (GEWE) leo jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TATHMINI YA RIPOTI MRADI WA GEWE YAZINDULIWA DAR‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Valerie Msoka pamoja na meza kuu wakionesha ripoti ya GEWE mara baada ya uzinduzi wake leo jijini Dar es Salaam. Mratibu wa Kituo cha Usuluhishi (CRC), Bi. Gladness Munuo (wa kwanza kushoto) akizungumza katika uzinduzi wa ripoti ya Kutokomeza Ukatili na vitendo vya Unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto (GEWE) leo jijini Dar es Salaam....

 

10 years ago

Vijimambo

RIPOTI YA HALI YA BIASHARA YA MAZAO YATOKANAYO NA BIOTEKNOLOJIA YA KISASA YA MWAKA 2014 YAZINDULIWA DAR ES SALAAM LEO

Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi (kushoto), akionesha Ripoti ya Hali ya Biashara ya Mazao yatokanayo na bioteknolojia ya kisasa ya mwaka 2014 baada ya kuizindua Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo wa wizara hiyo, Dk.Fidelis Myaka.
Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi (kulia), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Raphael Daluti Ripoti ya Hali ya Biashara ya Mazao yatokanayo na bioteknolojia ya...

 

11 years ago

Michuzi

UFUNGUZI WA WARSHA YA WADAU KUJADILI TAARIFA YA TATHIMINI YA ATHARI ZA KIJAMII NA MAZINGIRA YA MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA NGERENGERE HADI KIDUNDA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Said Mecky Sadiki akitoa maelezo machache kuhusu suala la upatikanaji wa maji Mkoani mwake, katika warsha iliyofanyika katika hoteli ya Nashera mjini Morogoro.  Mkuu wa Mkoa wa Pwani,  Mhe. Mwantumu Mahiza , akitoa salamu pamoja na umuhimu wa ushirikishwaji wadau mbalimbali katika kulinda mazingira na vyanzo vya maji. Kwa habari kamili BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

Ripoti ya UNCTAD ya Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika 2015 Yazinduliwa

Kulia ni Ofisa Mwandamizi anayeshughulikia Masuala ya Uchumi UN, Laura Paez akifafanua sehemu ya Ripoti ya UNCTAD ya Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika ya Mwaka 2015 kwa wanahabari jijini Dar es Salaam nchini Tanzania. Kushoto ni Ofisa Habari wa Kituo cha Taarifa cha Umoja wa Mataifa Tanzania (UNIC), Stella Vuzo. Kulia ni Ofisa Mwandamizi anayeshughulikia Masuala ya Uchumi UN, Laura Paez akifafanua sehemu ya Ripoti ya UNCTAD ya Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika ya Mwaka 2015 kwa wanahabari jijini Dar es Salaam nchini Tanzania. Kushoto ni Ofisa Habari wa Kituo cha Taarifa cha Umoja wa Mataifa Tanzania (UNIC), Stella Vuzo.Ofisa Mwandamizi anayeshughulikia Masuala ya Uchumi UN, Laura Paez akifafanua sehemu ya Ripoti ya UNCTAD ya Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika ya Mwaka 2015 kwa wanahabari jijini Dar es Salaam nchini Tanzania.
Ofisa Mwandamizi anayeshughulikia Masuala ya Uchumi UN, Laura Paez akifafanua sehemu ya Ripoti ya UNCTAD ya Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika ya Mwaka 2015 kwa wanahabari jijini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua mkuano wa tathimini ya programu ya BRN -Dar

PG4A8359

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa zamani wa Botswana, Festus Mogae baada ya kufungua kikao cha mapitio ya Programu ya  Matokeo Makubwa sasa (BRN) kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam Januari 15, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A8355

 

9 years ago

Dewji Blog

UNESCO yazindua ripoti ya mafanikio ya mradi wa Wazazi Matineja

Mkuu wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues akisoma hotuba  mbele ya wageni waalikwa waliofika kwenye uzinduzi wa Ripoti ya Mafanikio ya Mradi wa Wasichana walioacha shule kwa sababu za Ujauzito unaofadhili Ubalozi wa Japan na kuratibiwa na UNESCO.(Picha zote na Geofrey Adroph wa Pamoja blog)

Kamishana wa Elimu kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini Prof, Eustella Bhalalusesa...

 

10 years ago

AllAfrica.Com

Ruangwa Women Success Story After Gewe II


Ruangwa Women Success Story After Gewe II
AllAfrica.com
The Executive Director of Tanzania Media Women's Association (TAMWA) Ms Valerie Msoka launches Gender Equality and Women Empowerment (GEWE) II report in Dar es Salaam. SALIMA Ustazi who resides at Nachingwea ward in Ruangwa district, Lindi ...

 

11 years ago

Daily News

GEWE II initiative deserves community wholesome support


GEWE II initiative deserves community wholesome support
Daily News
THE Tanzania Media Women Association (TAMWA) alongside Tanzania Gender Networking Programme (TGNP), Tanzania Women Lawyers Association (TAWLA), Zanzibar Female Lawyers' Association (ZAFELA) and Crisis Resolving Centre (CRC) are ...

 

11 years ago

GPL

PRINCESS CASINO YAZINDULIWA DAR

Balozi wa Uturuki nchini, Ali Dovutoglu akitoa hotuba fupi wakati wa uzinduzi wa Princess Casino, kushoto ni wamiliki wa casino hiyo. Mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa aliyekuwa mshereheshaji katika uzinduzi huo akifungua sherehe.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani