Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PRINCESS CASINO YAZINDULIWA DAR

Balozi wa Uturuki nchini, Ali Dovutoglu akitoa hotuba fupi wakati wa uzinduzi wa Princess Casino, kushoto ni wamiliki wa casino hiyo. Mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa aliyekuwa mshereheshaji katika uzinduzi huo akifungua sherehe.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aonana na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Kiko leo Ikulu, Dar

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino alieambatana na Mkewe Princess Kiko walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkurugenzi wa Idara ya Asia Bw. Mbelwa Kairuki kwa Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Kiko waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazunzumzo na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na...

 

9 years ago

Raia Mwema

TRA na zimwi la casino economy

MIONGONI mwa viongozi wakuu wa nchi waliofanikiwa kuiondoa nchi husika kutoka kiwango fulani cha

Godfrey Dilunga

 

5 years ago

The African Exponent

A Complete Beginners Guide to Online Casino Bonuses

A Complete Beginners Guide to Online Casino Bonuses  The African Exponent

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aonana na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino leo Ikulu, Dar

J1

Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki  Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014.

J2

Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkurugenzi wa Idara ya Asia Bw. Mblewa Kairuki kwa Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo.

J3

Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na  Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea...

 

5 years ago

Michuzi

Sababu Kumi za Kujaribu Casino Heist ya Meridianbet,Sherehe ya Ushindi imeanza

MERIDIANBET inakuletea toleo jingine makini la msisimko wa Casino katika mchezo wa CASINO HEIST-na hii sio sloti ya kawaida tu.
Kila kipengele cha mchezo huu wa kufurahisha wa Casino ya Meridianbet unaweza kucheza katika aina zote za simu sambamba na kuundwa kwake kwa umakini ili kuwapa burudani kabambe wachezaji wake. 
Kitu cha kwanza, grafiki zake ni za ajabu na hutengeneza mazingira ya kuwepo kwenye Kasino halisi, wakati kitu cha kuvutia zaidi kikiwa katika mandhari ya mchezo - Casino...

 

10 years ago

GPL

MASHINDANO YA MISS KILIMANJARO YAZINDULIWA DAR

Baadhi ya washiriki wa shindano hilo wakiwa kwenye pozi la pamoja ndani ya Hoteli ya Colloseum maeneo ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa mashindano hayo Jacqueline Chuwa (katikati) akizungumza jambo mbele ya wanahabari waliokuwa  Hoteli ya Colloseum Mnazi Mmoja jijini Dar. Kushoto ni Mkuu wa Itifaki wa mashindano hayo Angerls Faber na Mratibu wa Shindano hilo Sebu Panya.… ...

 

9 years ago

Mtanzania

Filamu ya James Bond yazinduliwa Dar

spectreNa Theresia Gasper, Dar es Salaam

WADAU na watu maarufu mbalimbali hapa nchini mwishoni mwa wiki walijumuika katika uzinduzi wa filamu mpya ya Spectre James Bond iliyofanyika Cape Town Fish Market jijini Dar es Salaam.

Uzinduzi wa filamu hiyo iliyoigizwa na Daniel Craig kama James Bond, uliratibiwa na kampuni ya QWAY International chini ya udhamini wa kinywaji cha Belvedere Vodka ikishirikiana na Heineken, Jaguar pamoja na Land Rover.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tovuti mabadiliko tabianchi yazinduliwa Dar

KATIKA kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), imezindua tovuti maalumu ili kuweza kupambana na hali hiyo duniani. Akizungumza katika uzinduzi huo jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Habarileo

Treni ya kisasa yazinduliwa Dar es Salaam

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza akipeperusha bendera kuashiria kuanza kwa safari za treni ya kisasa katika Kituo cha Reli Dar es Salaam jana huku Rais Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa nchi za Afrika Mashariki wakishuhudia. (Na Mpigapicha Wetu).TRENI nne za kisasa za mizigo mali ya Shirika la Reli nchini (TRL) zinazokwenda nchi nne za Ukanda wa Kati zimezinduliwa jana jioni Dar es Salaam kwenda kwenye nchi hizo, tukio lililoshuhudiwa na marais na wawakilishi wa nchi husika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani