Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tovuti mabadiliko tabianchi yazinduliwa Dar

KATIKA kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), imezindua tovuti maalumu ili kuweza kupambana na hali hiyo duniani. Akizungumza katika uzinduzi huo jijini Dar es Salaam...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI WAFANYIKA JIJINI DAR

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa Rwekaza Mukandara akifungua mkutano wa mabadiliko ya tabianchi unaofanyika katika hoteli ya Kunduchi nje kidogo ya jiji la Dar Es salaam ukiwashirikisha watafiti na wanamazingira kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Tanzania. Mkurugenzi wa kituo cha mafunzo ya mabadiliko ya tabianchi cha chuo kikuu cha Dar Es Salaam Profesa Pius Yanda akiwasilisha mada katika mkutano huo. Profesa Mukandara akijadiliana na wataalam wanaoshiriki kwenye...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mafuriko Dar es Salaam ni ushahidi wa athari za mabadiliko ya tabianchi

MAFURIKOHali ya mafuriko kama inavyoonekana eneo la Jangwani  katika kuingia katikati ya jiji la Dar es Salaam, Tanzania.

Mvua zinazoendelea kunyesha nakusababisha mafuriko na hasara kubwa jijini Dar es Salaam na maeneo mengine nchini zimetajwa kuwa ni moja ya ushahidi wa udhaifu wa miundombinu ya kweza kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ambayo ni janga kubwa duniani kwa sasa. Haya yalisemwa na FORUMCC; shirika linalijihusisha na masuala ya mabadiliko ya Tabianchi. Watu zaidi ya 12...

 

10 years ago

Vijimambo

FORUMCC: MAFURIKO DAR ES SALAAM NI USHAHIDI WA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI

Mvua zinazoendelea kunyesha nakusababisha mafuriko na hasara kubwa jijini Dar es Salaam na maeneo mengine nchini zimetajwa kuwa ni moja ya ushahidi wa udhaifu wa miundombinu ya kweza kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ambayo ni janga kubwa duniani kwa sasa. Haya yalisemwa na FORUMCC; shirika linalijihusisha na masuala ya mabadiliko ya Tabianchi.
Watu zaidi ya 12 wameripotiwa kupoteza maisha mpaka sasa kutokana mafururiko hayo ambayo yameibua hisia na maswali mengi kutoka kwa...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA MWAKA WA WADAU WA MAZINGIRA NA MABADILIKO YA TABIANCHI WAFANYIKA JIJINI DAR

 Picha ya pamoja ya wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi waliohudhuria Mkutano wa wadau wa mambo hayo uliofanyika British Council jijini Dar es Salaa. Mjumbe wa Bodi ya ForumCC, Vera Florida Mugittu akitoa mada wakati wa Mkutano wa Wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi uliofanyika British Council jijini Dar es Salaa.… ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kongamano la Mabadiliko ya Tabianchi lafanyika katika Kijiji cha Makumbusho, DAR

 Mc katika kongaman0 la Mabadiliko ya Tabianchi kutoka Oxfam Tanzania Suhaila Thawer akiendelea kutoa utaratibu  Eva Mageni  ambaye ni Rais wa wakulima wanawake vijijini na alikuwa mshiriki wa shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015, akifungua kongamano la Mabadiliko ya Tabianchi ambapo alizungumzia kwa kifupi kuhusu mkutano wa COP21 ambao utafanyika Paris Ufaransa hivi karibuni.  Edward Tunyone kutoka Forum CC akieleza maana zaidi ya Mabadiliko ya Tabianchi ambapo alielekeza mazungumzo...

 

9 years ago

Michuzi

Wadau wakutana Dar kujadili Mkataba Mpya wa Mabadiliko ya Tabianchi ‘Paris Agreement’

Ikiwa ni siku chache baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi wa Nchi Wanachama COP21 uliokuwa ukifanyika Paris, Ufaransa, ambao ulimalizika kwa kupitisha mkataba mpya wa mabadiliko ya tabianchi (Paris Agreement), wadau mbalimbali wamekutana kujadili matokeo ya mkutano huo.
Mkutano huo wa wadau umeandaliwa na ForumCC kwa kushirikiana na Rosa Luxemburg Stiftung (RLS) kwa lengo la kuangalia mazidi na mapungufu ya mkataba huo ambao umeweka historia mpya ya kuelekea juhudi za...

 

9 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA MABADILIKO YA TABIANCHI LAFANYIKA KATIKA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO,JIJINI DAR

ASASI za Kiraia nchini zikiwemo Oxfam Tanzania, Forum CC na Norwegian Church Aid Actalliance  zafanya kongamano  la Kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa lengo la kuongeza uzalishaji wa Chakula nchini.
Akizungumza  Afisa Miradi Msaidizi wa Shirika la Forum CC,Jonathan Sawaya alisema asasi hizo zimeona ni vema kuwakilisha sauti za wakulima  kwa serikali katika kuhakikisha hatua stahiki zinachukuliwa katika kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi.
Alisema  asilimia kubwa ya wakulima wengi...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Mwaka wa Wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi wafanyika jijini Dar es Salaam

ForumCC imewakutanisha wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi kutoka Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar katika Mkutano Mkuu wa Mwaka ili kutoa ripoti ya mafanikio na kujadili changamoto zilizopo katika kupambana na mabadiliko ya tabianchi Picha ya pamoja ya wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi waliohudhuria Mkutano wa wadau wa mambo hayo uliofanyika British Counciljijini Dar es SalaaMjumbe wa Bodi ya ForumCC, Vera Florida Mugittu akitoa mada wakati wa Mkutano wa Wadau wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mafunzo ya uwezeshaji kuhusu mabadiliko ya Tabianchi na athari zake yafanyika jijini Dar

Mkurugenzi wa Kituo cha Mafunzo ya Mabadiliko ya Tabianchi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof. Pius Yanda (wa pili kushoto) akifungua Mafunzo ya uwezeshaji kuhusu mabadiliko ya Tabianchi na athari zake kwa walimu wa somo la Jiografia kutoka Manispaa ya Kinondoni. Kushoto ni kiongozi wa walimu wanaopata mafunzo Mwl. Nesta Mwamfupe. Mafunzo hayo ya siku mbili yanafanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Walimu wa Shule za Msingi Manispaa ya Kinondoni wakisikiliza muwezeshaji wakati wa ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani