RAIS KIKWETE ACHAGULIWA KUWA KIONGOZI MWENYE MCHANGO MKUBWA ZAIDI KATIKA MAENDELEO BARANI AFRIKA KWA MWAKA 2013
![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm2VXQmq5FERU-ivnIKocTc67sPlTO8Y6TWb16QMnRp6rEmCfokxsIWb1Bl9Ut9NjAIGbN7LjCSsYAAdLaynAFsk/Membe.jpg?width=650)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na maafisa na wageni mbalimbali katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani mjini Washington DC, Marekani, ambako atapokea tuzo ya Africa’s Most Impactful Leader of the Year kwa niaba ya Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania mjini humo leo April 9, 2014. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eKpRHeP3TAQ/U0S-oa-MvkI/AAAAAAAFZXE/CTdoWX0yPzo/s72-c/me1.jpg)
Rais Kikwete achaguliwa Kiongozi Bora Afrika
![](http://1.bp.blogspot.com/-eKpRHeP3TAQ/U0S-oa-MvkI/AAAAAAAFZXE/CTdoWX0yPzo/s1600/me1.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa kuwa Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwlI-oB2-tGcG1qsj1ySJUjn1h*hITlMKASHwTC9lhAf9amgh4wiotg3xINuxQOaUWN3V0noaV0KGOSV3BB0m13Q/Rais1.jpg?width=650)
RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA BARANI AFRIKA.
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Kikwete achaguliwa kiongozi bora Afrika
11 years ago
Michuzi16 Jun
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
Rais Kikwete kuwa mgeni rasmi Bonanza la Maveteran wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Aprili 4-5, mwaka huu
Mwenyekiti wa Klabu ya Maveteran, Mussa Kisoky (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wao juu ya Bonanza hilo la Maveteran wa Afrika Mashariki hiyo Aprili 4 hadi 5, mwaka huu. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Mtemi Ramadhani na kwa upande wa kulia ni, Lawarence Mwalusako, tukio lililofanyika katika ukumbi wa Idara habari MAELEZO, jijini Dar es Salaam (Picha na Andrew Chale).
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
RAIS wa Jamhuri ya...
11 years ago
Michuzi16 Jun
11 years ago
GPL02 Jan
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Qp009ShMZhE/U4X1vQtGk8I/AAAAAAAFlw4/1pdra2w4lts/s72-c/2.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL A AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WAFANYABIASHARA WA BIMA BARANI AFRIKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-Qp009ShMZhE/U4X1vQtGk8I/AAAAAAAFlw4/1pdra2w4lts/s1600/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5eBACpoFs0M/U4X2Ipxuo9I/AAAAAAAFlx0/KFOBeovv4vs/s1600/01.jpg)
11 years ago
Dewji Blog28 May
Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa wafanyabiashara wa Bima Barani Afrika
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar Es Salaam, leo Mei 28, 2014 kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wafanyabiashara wa Bima Barani Afrika. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wafanyabiashara...