Rais Kikwete achaguliwa Kiongozi Bora Afrika
![](http://1.bp.blogspot.com/-eKpRHeP3TAQ/U0S-oa-MvkI/AAAAAAAFZXE/CTdoWX0yPzo/s72-c/me1.jpg)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na maafisa na wageni mbalimbali katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani mjini Washington DC, Marekani, ambako atapokea tuzo ya Africa’s Most Impactful Leader of the Year kwa niaba ya Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania mjini humo leo April 9, 2014.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa kuwa Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Kikwete achaguliwa kiongozi bora Afrika
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm2VXQmq5FERU-ivnIKocTc67sPlTO8Y6TWb16QMnRp6rEmCfokxsIWb1Bl9Ut9NjAIGbN7LjCSsYAAdLaynAFsk/Membe.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE ACHAGULIWA KUWA KIONGOZI MWENYE MCHANGO MKUBWA ZAIDI KATIKA MAENDELEO BARANI AFRIKA KWA MWAKA 2013
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA AFRIKA MASHARIKI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwlI-oB2-tGcG1qsj1ySJUjn1h*hITlMKASHwTC9lhAf9amgh4wiotg3xINuxQOaUWN3V0noaV0KGOSV3BB0m13Q/Rais1.jpg?width=650)
RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA BARANI AFRIKA.
9 years ago
Habarileo25 Sep
MO achaguliwa kuwa mfanyabiashara bora wa Afrika
MFANYABIASHARA kijana wa Tanzania, Mohammed Dewji ‘Mo’ wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Ltd (MeTL), ametwaa tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa Afrika kwa mwaka huu akiwapiku washindani wenzake wanne akiwemo tajiri wa Afrika, Aliko Dangote.
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Rais Kikwete atunukiwa Tuzo ya Kudumisha Utawala Bora Barani Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Jitihada za muongo mzima wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuimarisha na kudumisha Utawala Bora katika Tanzania zimetambuliwa kimataifa kwa Rais kutunukiwa Tuzo la Utawala Bora Barani Afrika mwaka 2015 (Good Governance in Africa.)
Rais Kikwete ametunukiwa Tuzo hiyo na Taasisi ya African Achievers Awards yenye makao yake makuu katika Afrika Kusini kutokana na kutambua mchango...
9 years ago
StarTV23 Sep
Wana-Afrika Mashariki waishia nje wamtunuku Rais Kikwete utawala bora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo nyingine, mara hii ikitolewa na wananchi wa Afrika Mashariki wanaoishi nje hususani Marekani ikilenga kutambua utawala bora wa uongozi wake katika nchi hizo.
Tuzo hiyo imetolewa kwa ushirikiano kati ya Wana-Afrika Mashariki hao na Baraza la Biashara la Waishio Nje EADBC ambalo linaunganisha wafanyabiashara wa nchi hizo.
Tuzo hiyo kwa Rais Kikwete ilitolewa usiku wa Jumapili, Septemba 20, 2015, katika sherehe...
11 years ago
GPL![](http://www.bongocelebrity.com/wp-content/uploads/2014/02/leadtheway_21x16-5.jpg?width=600)
MAMBO 6 YANAYOMFANYA MTU AWE KIONGOZI BORA NA SIO BORA KIONGOZI
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-opVqv1B_rKA/UxDQOLryiNI/AAAAAAAFQU0/SsDr1lsr3y0/s72-c/leadtheway_21x16-5.jpg)
MAMBO 6 YANAYOMFANYA MTU AWE KIONGOZI BORA NA SIO BORA KIONGOZI
![](http://3.bp.blogspot.com/-opVqv1B_rKA/UxDQOLryiNI/AAAAAAAFQU0/SsDr1lsr3y0/s1600/leadtheway_21x16-5.jpg)