Wana-Afrika Mashariki waishia nje wamtunuku Rais Kikwete utawala bora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo nyingine, mara hii ikitolewa na wananchi wa Afrika Mashariki wanaoishi nje hususani Marekani ikilenga kutambua utawala bora wa uongozi wake katika nchi hizo.
Tuzo hiyo imetolewa kwa ushirikiano kati ya Wana-Afrika Mashariki hao na Baraza la Biashara la Waishio Nje EADBC ambalo linaunganisha wafanyabiashara wa nchi hizo.
Tuzo hiyo kwa Rais Kikwete ilitolewa usiku wa Jumapili, Septemba 20, 2015, katika sherehe...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziJK apokea Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Rais Kikwete atunukiwa Tuzo ya Kudumisha Utawala Bora Barani Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Jitihada za muongo mzima wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuimarisha na kudumisha Utawala Bora katika Tanzania zimetambuliwa kimataifa kwa Rais kutunukiwa Tuzo la Utawala Bora Barani Afrika mwaka 2015 (Good Governance in Africa.)
Rais Kikwete ametunukiwa Tuzo hiyo na Taasisi ya African Achievers Awards yenye makao yake makuu katika Afrika Kusini kutokana na kutambua mchango...
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA AFRIKA MASHARIKI
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Ripoti: Rwanda inaongoza kwa utawala bora Afrika Mashariki
11 years ago
Dewji Blog17 Jun
Waziri Mkuchika: Tanzania ni nchi ya pili Afrika Mashariki kwa Utawala Bora na Vita dhidi ya Rushwa
Brass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimishi ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam.
Hussein Makame-MAELEZO
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika amesema kuwa Tanzania inashika nafasi ya pili kati ya nchi tano za Shirikisho la Afrika Mashariki katika suala la Utawala Bora na vita dhidi ya Rushwa.
Waziri Mkuchika amayasema hayo wakati akizindua Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma...
10 years ago
Mwananchi25 Jul
Rais Kikwete apewa Tuzo ya Utawala Bora
9 years ago
VijimamboRais Kikwete apokea Tuzo ya Utawala Bora
,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum ya “Africa Achiever’s Award in The...
9 years ago
MichuziRais Kikwete atembelea na kuaga rasmi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
11 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ATAJA MISINGI MIKUU MITANO YA UTHIBITISHO WA KUSHAMIRI KWA UTAWALA BORA NCHINI
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM. Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametaja misingi mikuu mitano ambayo...