Waziri Mkuchika: Tanzania ni nchi ya pili Afrika Mashariki kwa Utawala Bora na Vita dhidi ya Rushwa
Brass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimishi ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam.
Hussein Makame-MAELEZO
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika amesema kuwa Tanzania inashika nafasi ya pili kati ya nchi tano za Shirikisho la Afrika Mashariki katika suala la Utawala Bora na vita dhidi ya Rushwa.
Waziri Mkuchika amayasema hayo wakati akizindua Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo17 Jun
Tanzania ya pili vita dhidi ya rushwa
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika amesema Tanzania inashika nafasi ya pili kati ya nchi tano za Shirikisho la Afrika Mashariki katika suala la utawala bora na vita dhidi ya rushwa.
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Ripoti: Rwanda inaongoza kwa utawala bora Afrika Mashariki
9 years ago
StarTV23 Sep
Wana-Afrika Mashariki waishia nje wamtunuku Rais Kikwete utawala bora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo nyingine, mara hii ikitolewa na wananchi wa Afrika Mashariki wanaoishi nje hususani Marekani ikilenga kutambua utawala bora wa uongozi wake katika nchi hizo.
Tuzo hiyo imetolewa kwa ushirikiano kati ya Wana-Afrika Mashariki hao na Baraza la Biashara la Waishio Nje EADBC ambalo linaunganisha wafanyabiashara wa nchi hizo.
Tuzo hiyo kwa Rais Kikwete ilitolewa usiku wa Jumapili, Septemba 20, 2015, katika sherehe...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-biQjZxY4b0Y/VgD05uw4wdI/AAAAAAAH6vg/Tj9KCK84vh8/s72-c/unnamed.jpg)
JK apokea Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani
![](http://3.bp.blogspot.com/-biQjZxY4b0Y/VgD05uw4wdI/AAAAAAAH6vg/Tj9KCK84vh8/s640/unnamed.jpg)
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini na vita dhidi ya rushwa
10 years ago
Habarileo25 Aug
Tanzania nchi ya pili Afrika kutoa leseni kwa mtandao
TANZANIA inatarajia kuwa nchi ya pili Afrika itakayokuwa ikitoa leseni za uchimbaji madini kwa njia ya mtandao. Kamishina wa Madini Tanzania, Paul Masanja alisema wanasubiri Sheria ya Madini ifanyiwe marekebisho na Bunge kuruhusu utolewaji wa leseni hizo.
11 years ago
MichuziHEIFER INTERNATIONAL TANZANIA YAZINDUA MRADI MKUBWA WA KUENDELEZA SEKTA YA MAZIWA KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
10 years ago
Dewji Blog04 Oct
Makamu wa Rais aiwakilisha Tanzania katika kongamano la pili la kimataifa la biashara kwa nchi za Afrika Jijini Dubai
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika majadiliano kuhusu utengamano wa Afrika na Fursa za biashara na Uwekezaji Katibu na Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Richard Sezibera, wakati wakihojiwa na Mwandishi wa habari wa Kimataifa na Mkurugenzi wa Kampuni ya ‘Eddo Media’, Mark Eddo (kushoto). (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Oktoba Mosi, 2014 ameiwakilisha Tanzania katika...