JK apokea Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani
![](http://3.bp.blogspot.com/-biQjZxY4b0Y/VgD05uw4wdI/AAAAAAAH6vg/Tj9KCK84vh8/s72-c/unnamed.jpg)
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mheshimiwa Wilson Masilingi akimkabidhi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani na nchi nyingine (East African Diaspora Business Council Award) Jumatatu, Septemba 21, 2015 mjini Washington, D.C. Balozi Masilingi ndiye alimwakilisha Dkt. Kikwete katika sherehe ya kukabidhi tuzo hiyo usiku wa Jumapili, Septemba 20 kwenye Hoteli ya Hyatt Regency, Dallas, Jimbo la Texas. Picha na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV23 Sep
Wana-Afrika Mashariki waishia nje wamtunuku Rais Kikwete utawala bora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo nyingine, mara hii ikitolewa na wananchi wa Afrika Mashariki wanaoishi nje hususani Marekani ikilenga kutambua utawala bora wa uongozi wake katika nchi hizo.
Tuzo hiyo imetolewa kwa ushirikiano kati ya Wana-Afrika Mashariki hao na Baraza la Biashara la Waishio Nje EADBC ambalo linaunganisha wafanyabiashara wa nchi hizo.
Tuzo hiyo kwa Rais Kikwete ilitolewa usiku wa Jumapili, Septemba 20, 2015, katika sherehe...
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA AFRIKA MASHARIKI
9 years ago
VijimamboRais Kikwete apokea Tuzo ya Utawala Bora
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
JK apokea tuzo nyingine ya Uongozi na Utawala bora ya ‘Africa Achievers Award’
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Alhamisi, Septemba 10, 2015 amepokea tuzo nyingine ya kimataifa, siku mbili tu baada ya kupokea tuzo ya kutambua mchango wake katika kudumisha amani na utulivu katika Tanzania.
Rais amekabidhiwa tuzo hiyo ya Uongozi na Utawala Bora na Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa AshaRose Migiro ambaye aliipokea kwa niaba ya Rais Kikwete katika...
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Ripoti: Rwanda inaongoza kwa utawala bora Afrika Mashariki
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Rais Kikwete atunukiwa Tuzo ya Kudumisha Utawala Bora Barani Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Jitihada za muongo mzima wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuimarisha na kudumisha Utawala Bora katika Tanzania zimetambuliwa kimataifa kwa Rais kutunukiwa Tuzo la Utawala Bora Barani Afrika mwaka 2015 (Good Governance in Africa.)
Rais Kikwete ametunukiwa Tuzo hiyo na Taasisi ya African Achievers Awards yenye makao yake makuu katika Afrika Kusini kutokana na kutambua mchango...
11 years ago
Dewji Blog17 Jun
Waziri Mkuchika: Tanzania ni nchi ya pili Afrika Mashariki kwa Utawala Bora na Vita dhidi ya Rushwa
Brass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimishi ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam.
Hussein Makame-MAELEZO
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika amesema kuwa Tanzania inashika nafasi ya pili kati ya nchi tano za Shirikisho la Afrika Mashariki katika suala la Utawala Bora na vita dhidi ya Rushwa.
Waziri Mkuchika amayasema hayo wakati akizindua Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwlI-oB2-tGcG1qsj1ySJUjn1h*hITlMKASHwTC9lhAf9amgh4wiotg3xINuxQOaUWN3V0noaV0KGOSV3BB0m13Q/Rais1.jpg?width=650)
RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA BARANI AFRIKA.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QGPHMg3s_yg/Xliuaq87DKI/AAAAAAALfzI/U0o9JZpYrfsixRxmlOshnl-G2F_SUT1nQCLcBGAsYHQ/s72-c/1-66.jpg)
KATIBU MKUU WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA APOKEA UJUMBE KUTOKA SEKRETARIETI YA SOKO LA PAMOJA LA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA COMESA
![](https://1.bp.blogspot.com/-QGPHMg3s_yg/Xliuaq87DKI/AAAAAAALfzI/U0o9JZpYrfsixRxmlOshnl-G2F_SUT1nQCLcBGAsYHQ/s640/1-66.jpg)
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe na Naibu Katibu Mkuu Ndugu Ludovick Nduhiye wakiwa katiza picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Sekretarieti ya COMESA ulioongozwa na Balozi Dr. Kipyego Cheluget.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/2-53.jpg)
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Katibu mkuu anayeshughulikia miradi kutoka sekretarieti ya (COMESA) Balozi Dr. Kipyego Cheluget.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/3-52-1024x365.jpg)
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akiongoza kikao...