JK apokea tuzo nyingine ya Uongozi na Utawala bora ya ‘Africa Achievers Award’
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Alhamisi, Septemba 10, 2015 amepokea tuzo nyingine ya kimataifa, siku mbili tu baada ya kupokea tuzo ya kutambua mchango wake katika kudumisha amani na utulivu katika Tanzania.
Rais amekabidhiwa tuzo hiyo ya Uongozi na Utawala Bora na Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa AshaRose Migiro ambaye aliipokea kwa niaba ya Rais Kikwete katika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboJK AAGANA NA WAFANYAKAZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA, ATUNUKIWA TUZO NYINGINE YA UONGOZI WENYEMAFANIKIO, IJULIKANAYO KAMA "AFRICA ACHIEVING'S AWARD"
9 years ago
VijimamboRais Kikwete apokea Tuzo ya Utawala Bora
,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum ya “Africa Achiever’s Award in The...
9 years ago
MichuziJK apokea Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Rais Kikwete apokea Tuzo ya Uongozi Bora nchini
Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali Bwana Ludovick Utouh akikmabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum kwa kutambua mchango wange kwa taasisi simamizi katika kuimarisha Uwazi,Uadilifu na uwajibikaji wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni iliyofanyika katika ukumbi wa wa kimataifa wa mikutano Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam
Bwana Utouh alikabidhi Tuzo hiyo kwa niaba ya taasisi sita ambazo ni Bodi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi,TAKUKURU, Mamlaka ya...
11 years ago
MichuziWaandishi 37 watunukiwa tuzo za maoni yao kuhusu kuboresha utoaji huduma Tuzo zilitolewa kwenye hafla maalum na Waziri wa Utawala bora
Shindano hili la kutafuta maoni ya wananchi lilizinduliwa kwa ushirikiano wa Twaweza pamoja na Serikali ya Tanzania mwezi Desemba 2012. Twaweza iliisaidia Serikali...
10 years ago
TheCitizen25 Jul
JK wins African Achievers Award
10 years ago
Mwananchi25 Jul
Rais Kikwete apewa Tuzo ya Utawala Bora
5 years ago
MichuziDK,SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS, UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Nd,Yakout Hassan...
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Rais Kikwete atunukiwa Tuzo ya Kudumisha Utawala Bora Barani Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Jitihada za muongo mzima wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuimarisha na kudumisha Utawala Bora katika Tanzania zimetambuliwa kimataifa kwa Rais kutunukiwa Tuzo la Utawala Bora Barani Afrika mwaka 2015 (Good Governance in Africa.)
Rais Kikwete ametunukiwa Tuzo hiyo na Taasisi ya African Achievers Awards yenye makao yake makuu katika Afrika Kusini kutokana na kutambua mchango...