JK AAGANA NA WAFANYAKAZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA, ATUNUKIWA TUZO NYINGINE YA UONGOZI WENYEMAFANIKIO, IJULIKANAYO KAMA "AFRICA ACHIEVING'S AWARD"
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu Jaji Agustino Ramadhani wakizindua kitabu cha taarifa za msingi kuhusu mahakama hiyo kwenye Ukumbi wa Kibo kwenye majengo ya Mahakama hiyo mjini Arusha leo Septemba 10, 2015. Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuagana na viongozi na wafanyakazi wa mahakama hiyo, awali Rais Kikwete, alitunukiwa tuzo ya uongozi bora Ikulu jijini Dar es Salaam leo Septemba 10, 2015. Tuzo hiyo aliyotunukiwa nchini Afrika Kusini hivi...
Vijimambo