Rais Kikwete apokea Tuzo ya Utawala Bora
,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum ya “Africa Achiever’s Award in The Category of Good governance in Africa,” wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Dkt.Migiro alimwakilisha Rais Kikwete katika hafla ya kutunukiwa Tuzo hiyo huko Afrika ya Kusini hivi karibuni.
,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum ya “Africa Achiever’s Award in The...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Jul
Rais Kikwete apewa Tuzo ya Utawala Bora
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Rais Kikwete atunukiwa Tuzo ya Kudumisha Utawala Bora Barani Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Jitihada za muongo mzima wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuimarisha na kudumisha Utawala Bora katika Tanzania zimetambuliwa kimataifa kwa Rais kutunukiwa Tuzo la Utawala Bora Barani Afrika mwaka 2015 (Good Governance in Africa.)
Rais Kikwete ametunukiwa Tuzo hiyo na Taasisi ya African Achievers Awards yenye makao yake makuu katika Afrika Kusini kutokana na kutambua mchango...
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Rais Kikwete apokea Tuzo ya Uongozi Bora nchini
Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali Bwana Ludovick Utouh akikmabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum kwa kutambua mchango wange kwa taasisi simamizi katika kuimarisha Uwazi,Uadilifu na uwajibikaji wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni iliyofanyika katika ukumbi wa wa kimataifa wa mikutano Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam
Bwana Utouh alikabidhi Tuzo hiyo kwa niaba ya taasisi sita ambazo ni Bodi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi,TAKUKURU, Mamlaka ya...
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA AFRIKA MASHARIKI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwlI-oB2-tGcG1qsj1ySJUjn1h*hITlMKASHwTC9lhAf9amgh4wiotg3xINuxQOaUWN3V0noaV0KGOSV3BB0m13Q/Rais1.jpg?width=650)
RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA BARANI AFRIKA.
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
JK apokea tuzo nyingine ya Uongozi na Utawala bora ya ‘Africa Achievers Award’
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Alhamisi, Septemba 10, 2015 amepokea tuzo nyingine ya kimataifa, siku mbili tu baada ya kupokea tuzo ya kutambua mchango wake katika kudumisha amani na utulivu katika Tanzania.
Rais amekabidhiwa tuzo hiyo ya Uongozi na Utawala Bora na Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa AshaRose Migiro ambaye aliipokea kwa niaba ya Rais Kikwete katika...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-biQjZxY4b0Y/VgD05uw4wdI/AAAAAAAH6vg/Tj9KCK84vh8/s72-c/unnamed.jpg)
JK apokea Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani
![](http://3.bp.blogspot.com/-biQjZxY4b0Y/VgD05uw4wdI/AAAAAAAH6vg/Tj9KCK84vh8/s640/unnamed.jpg)
9 years ago
StarTV23 Sep
Wana-Afrika Mashariki waishia nje wamtunuku Rais Kikwete utawala bora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo nyingine, mara hii ikitolewa na wananchi wa Afrika Mashariki wanaoishi nje hususani Marekani ikilenga kutambua utawala bora wa uongozi wake katika nchi hizo.
Tuzo hiyo imetolewa kwa ushirikiano kati ya Wana-Afrika Mashariki hao na Baraza la Biashara la Waishio Nje EADBC ambalo linaunganisha wafanyabiashara wa nchi hizo.
Tuzo hiyo kwa Rais Kikwete ilitolewa usiku wa Jumapili, Septemba 20, 2015, katika sherehe...
9 years ago
MichuziRais Kikwete atembelea na kuaga rasmi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora