RAIS KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA AFRIKA MASHARIKI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea Tuzo ya Kiongozi Bora Afrika Mashariki kutoka katika taasisi ya East Africa Book of Records yenye makao yake makuu jijini Kampala Uganda.Pichani kiongozi wa Taasisi hiyo Dkt.Paul Bamutize akimkabidhi Rais Kikwete tuzo hiyo wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaanm leo asubuhi.Sambamba na Tuzo hiyo Rais kikwete amepokea tuzo ya kuitambua Tanzania kama taifa bora Afrika Mashariki kwa kudumisha Amani na Utulivu,Huduma bora za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwlI-oB2-tGcG1qsj1ySJUjn1h*hITlMKASHwTC9lhAf9amgh4wiotg3xINuxQOaUWN3V0noaV0KGOSV3BB0m13Q/Rais1.jpg?width=650)
RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA BARANI AFRIKA.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-biQjZxY4b0Y/VgD05uw4wdI/AAAAAAAH6vg/Tj9KCK84vh8/s72-c/unnamed.jpg)
JK apokea Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani
![](http://3.bp.blogspot.com/-biQjZxY4b0Y/VgD05uw4wdI/AAAAAAAH6vg/Tj9KCK84vh8/s640/unnamed.jpg)
9 years ago
VijimamboRais Kikwete apokea Tuzo ya Utawala Bora
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Rais Kikwete apokea Tuzo ya Uongozi Bora nchini
Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali Bwana Ludovick Utouh akikmabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum kwa kutambua mchango wange kwa taasisi simamizi katika kuimarisha Uwazi,Uadilifu na uwajibikaji wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni iliyofanyika katika ukumbi wa wa kimataifa wa mikutano Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam
Bwana Utouh alikabidhi Tuzo hiyo kwa niaba ya taasisi sita ambazo ni Bodi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi,TAKUKURU, Mamlaka ya...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eKpRHeP3TAQ/U0S-oa-MvkI/AAAAAAAFZXE/CTdoWX0yPzo/s72-c/me1.jpg)
Rais Kikwete achaguliwa Kiongozi Bora Afrika
![](http://1.bp.blogspot.com/-eKpRHeP3TAQ/U0S-oa-MvkI/AAAAAAAFZXE/CTdoWX0yPzo/s1600/me1.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa kuwa Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa...
9 years ago
StarTV23 Sep
Wana-Afrika Mashariki waishia nje wamtunuku Rais Kikwete utawala bora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo nyingine, mara hii ikitolewa na wananchi wa Afrika Mashariki wanaoishi nje hususani Marekani ikilenga kutambua utawala bora wa uongozi wake katika nchi hizo.
Tuzo hiyo imetolewa kwa ushirikiano kati ya Wana-Afrika Mashariki hao na Baraza la Biashara la Waishio Nje EADBC ambalo linaunganisha wafanyabiashara wa nchi hizo.
Tuzo hiyo kwa Rais Kikwete ilitolewa usiku wa Jumapili, Septemba 20, 2015, katika sherehe...
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Rais Kikwete atunukiwa Tuzo ya Kudumisha Utawala Bora Barani Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Jitihada za muongo mzima wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuimarisha na kudumisha Utawala Bora katika Tanzania zimetambuliwa kimataifa kwa Rais kutunukiwa Tuzo la Utawala Bora Barani Afrika mwaka 2015 (Good Governance in Africa.)
Rais Kikwete ametunukiwa Tuzo hiyo na Taasisi ya African Achievers Awards yenye makao yake makuu katika Afrika Kusini kutokana na kutambua mchango...
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Kikwete achaguliwa kiongozi bora Afrika
10 years ago
Dewji Blog26 Jul
Mama Kikwete apewa tuzo ya kimataifa ya mwaka 2015 ya Kiongozi bora Mwanamke
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akipokea TUZO maalum ya “ CWL International Women of Excellency Award for Leadership” kutoka kwa Profesa Joseph Adaikalam, Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Chuo Kukuu cha Binary kilichoko nchini Malaysia kwa kutambua na kuthamini mchango wake katika maendeleo ya wanawake nchini Tanzania na Afrika tarehe 24.7.2015. Aliyesimama (kushoto) ni Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Mlima, akifuatiwa na Profesa Bulochana Nair na Kulia ni...