Tanzania ya pili vita dhidi ya rushwa
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika amesema Tanzania inashika nafasi ya pili kati ya nchi tano za Shirikisho la Afrika Mashariki katika suala la utawala bora na vita dhidi ya rushwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog17 Jun
Waziri Mkuchika: Tanzania ni nchi ya pili Afrika Mashariki kwa Utawala Bora na Vita dhidi ya Rushwa
Brass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimishi ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam.
Hussein Makame-MAELEZO
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika amesema kuwa Tanzania inashika nafasi ya pili kati ya nchi tano za Shirikisho la Afrika Mashariki katika suala la Utawala Bora na vita dhidi ya Rushwa.
Waziri Mkuchika amayasema hayo wakati akizindua Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma...
9 years ago
BBCSwahili24 Nov
Kenya yatangaza vita dhidi ya Rushwa
10 years ago
Habarileo26 Aug
Samia amkubali Magufuli vita dhidi ya rushwa
MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Samia Hassan Suluhu, amemnadi mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli kwamba hana mchezo na vitendo vya rushwa jambo litakaloleta maendeleo zaidi.
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Wananchi wamekata tamaa vita dhidi ya rushwa
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini na vita dhidi ya rushwa
11 years ago
BBCSwahili12 Jun
Vita dhidi ya ajira kwa watoto Tanzania
11 years ago
Mwananchi08 Oct
Vita dhidi ya ebola ni mapambano dhidi ya adui asiyeonekana
11 years ago
Tanzania Daima27 Mar
Tupige vita rushwa
MACHI 20 mwaka huu ilikuwa ni Siku ya Mashairi Duniani ambayo iliwekwa kimataifa na Shirika la UNESCO kujikumbusha juu ya umuhimu wa mashairi katika kuelimisha. Makala ya leo inahusu matumizi...