Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wamekata tamaa vita dhidi ya rushwa

Anasema hali hiyo si nzuri na inatoa changamoto mpya katika vita dhidi ya rushwa hasa kutokana na wananchi wengi kupoteza imani katika vita hiyo, kwa kuwa ndiyo wanaoathirika moja kwa moja na hawaoni hatua zozote madhubuti kukomesha na kuwashughulikia watuhumiwa wa matukio hayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

‘Wananchi Same Mashariki wamekata tamaa’

MWANAHARAKATI na mdau wa maendeleo ya wananchi wa Same Mashariki, Allan Mmanyi ‘Mkombozi’ amesema hali ya maisha ya wakazi wa vijiji vingi vya Same Mashariki inasikitisha kwa kuwa wengi wao...

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli: Watanzania wamekata tamaa

magufuli*Asema haiwezekani wachache wale kuku kwa mrija

 

Na Bakari Kimwanga, Iringa

 

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema amejipanga kulipa deni kwa Watanzania kwa kuleta mabadiliko ya kweli.

Amesema pamoja na hali hiyo, anatambua namna wananchi walivyokata tamaa ikiwamo kushindwa kubadili maisha yao, kutokana na ubinafsi wa watu wachache ambao wameamua kujimilikisha rasilimali za nchi.

Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wamekata tamaa kujifunza Kiingereza

WATANZANIA wengi wamekata tamaa ya kujifunza Kiingereza pia wanaigopa lugha hiyo. Hayo yalisemwa Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu wa Mradi vitabu vya Watoto ‘Children’s Book Project’, Pilli Dumea...

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania ya pili vita dhidi ya rushwa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika amesema Tanzania inashika nafasi ya pili kati ya nchi tano za Shirikisho la Afrika Mashariki katika suala la utawala bora na vita dhidi ya rushwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kenya yatangaza vita dhidi ya Rushwa

Rais Uhuru Kenyata ametangaza kuwa Rushwa ni tishio la usalama wa taifa.

 

9 years ago

Habarileo

Samia amkubali Magufuli vita dhidi ya rushwa

MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Samia Hassan Suluhu, amemnadi mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli kwamba hana mchezo na vitendo vya rushwa jambo litakaloleta maendeleo zaidi.

 

9 years ago

Mwananchi

Uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini na vita dhidi ya rushwa

Nikizingatia hotuba ya Rais John Magufuli alipozindua Bunge, na imani kubwa ya Watanzania juu yake kuhusu kuongoza mapambano dhidi ya rushwa, nilistushwa na kusikitishwa na uamuzi wake wa kumteua Profesa Sospeter Muhongo kuwa Waziri wa Nishati na Madini.

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuchika: Tanzania ni nchi ya pili Afrika Mashariki kwa Utawala Bora na Vita dhidi ya Rushwa

1

Brass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimishi ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam.

Hussein Makame-MAELEZO

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika amesema kuwa Tanzania inashika nafasi ya pili kati ya nchi tano za Shirikisho la Afrika Mashariki katika suala la Utawala Bora na vita dhidi ya Rushwa.

Waziri Mkuchika amayasema hayo wakati akizindua Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani