‘Wananchi Same Mashariki wamekata tamaa’
MWANAHARAKATI na mdau wa maendeleo ya wananchi wa Same Mashariki, Allan Mmanyi ‘Mkombozi’ amesema hali ya maisha ya wakazi wa vijiji vingi vya Same Mashariki inasikitisha kwa kuwa wengi wao...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Wananchi wamekata tamaa vita dhidi ya rushwa
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Magufuli: Watanzania wamekata tamaa
*Asema haiwezekani wachache wale kuku kwa mrija
Na Bakari Kimwanga, Iringa
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema amejipanga kulipa deni kwa Watanzania kwa kuleta mabadiliko ya kweli.
Amesema pamoja na hali hiyo, anatambua namna wananchi walivyokata tamaa ikiwamo kushindwa kubadili maisha yao, kutokana na ubinafsi wa watu wachache ambao wameamua kujimilikisha rasilimali za nchi.
Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana,...
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
Watanzania wamekata tamaa kujifunza Kiingereza
WATANZANIA wengi wamekata tamaa ya kujifunza Kiingereza pia wanaigopa lugha hiyo. Hayo yalisemwa Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu wa Mradi vitabu vya Watoto ‘Children’s Book Project’, Pilli Dumea...
10 years ago
Habarileo26 Jun
Epukeni matumizi yanayokatisha tamaa wananchi-RC
WAKURUGENZI wa halmashauri za mkoa wa Kagera wametakiwa kuhakikisha wanasimamia ipasavyo fedha za michango ya ujenzi wa maabara na kuepuka matumizi yanayowakatisha tamaa wananchi wenye moyo wa kuchangia.
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Wananchi walicharukia Bunge la #Katiba, wataka liache tamaa, lisipoteze muda [VIDEO]
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v6wcuBb1nvu7vHJ83-B1V0ZLRCza6SIVMu3cR**r50nuJJ8YxkSnXez-sDFH9XupnqDKhsVuk1n9wI5w-yCzuyFhTmXa9p7*/Malecela.jpg?width=650)
SAME MASHARIKI: HUDUMA ZA KIJAMII ZINAVYOWATESA WANANCHI
10 years ago
Vijimambo07 Oct
Wananchi waunga mkono ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
uwezo wa kusafiri ndani ya kanda kwa kitambulisho cha taifa
miundombinu ya pamoja na uhuru wa kufanya kazi popote ndani ya Jumuiya.
Oktoba 7, 2014, Dar es Salaam: Wananchi wanane kati ya kumi (80%) wanafikiri kuwa Tanzania inapaswa kubakia ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Aidha,wananchi tisa kati ya kumi (85%) wanakubali uwepo wa ushirikiano mkubwa zaidi na Kenya na Uganda. Wananchi sita kati ya kumi pia wanauunga mkono upanuzi...
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO AFANYA USAFI NA WANANCHI WA UPANGA MASHARIKI
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel aliyeshika koleo akishiriki zoezi la usafi na wananchi wa Kata ya Upanga mashariki ikiwa ni kuitikia wito wa
kutikia agizo la Mh. Rais John Pombe Magufuli la kufanya usafi siku ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania .
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel aliyeshika toroli akishiriki zoezi la usafi na wananchi wa Kata ya Upanga mashariki ikiwa ni...
10 years ago
MichuziMh. Nassary ashiriki kazi za mikono na wananchi kwa Ujenzi wa barabara ya Sawmill- Ushili mpaka Sura,Arumeru Mashariki
Mapumziko kwa chakula cha mchana mara baada ya kuchapa kazi ya kutengeneza barabara.