Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MO achaguliwa kuwa mfanyabiashara bora wa Afrika

MFANYABIASHARA kijana wa Tanzania, Mohammed Dewji ‘Mo’ wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Ltd (MeTL), ametwaa tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa Afrika kwa mwaka huu akiwapiku washindani wenzake wanne akiwemo tajiri wa Afrika, Aliko Dangote.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM achaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Afrika Kanda ya Afrika Mashariki

 Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM),Mboni Mhita (katikati) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) pamoja na baadhi ya vijana wa Mkoa wa Dar es salaam leo,juu ushindi wake alioupata katika Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Barani Afrika,ambapo yeye amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja huo kwa upande wa Afrika Mashariki.Uchaguzi huo ulifanyika Mwishoni mwa mwezi uliopita katika Jiji la Johannesburg,nchini Afrika Kusini.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete achaguliwa kiongozi bora Afrika

>Rais Jakaya Kikwete amechaguliwa kuwa kiongozi mwenye mchango mkubwa zaidi katika maendeleo barani Afrika kwa mwaka 2013.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete achaguliwa Kiongozi Bora Afrika

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na maafisa na wageni mbalimbali katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani  mjini Washington DC, Marekani, ambako atapokea tuzo ya Africa’s Most Impactful Leader of the Year kwa niaba ya Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania mjini humo leo April 9, 2014.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa kuwa Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rooney achaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka 2015 wa Uingereza

ClickHandler.ashx

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Manchester United, Wayne Rooney (pichani) amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka 2015 wa Uingereza baada ya fanikiwa kuvunja rekodi ya kufunga magoli mengi katika timu ya taifa ya magoli 49 ambayo awali ilikuwa imewekwa na Sir Bobby Chalton na baade kuweka ya kwake ya magoli 50.

Rooney mwaka 2015 aliichezea Uingereza michezo 8 na kufanikiwa kuifungia magoli 5 ambayo yaliisaidia Uingereza kujihakikishia nafasi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mengi aingia fainali tuzo ya mfanyabiashara bora Afrika

MWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi ni miongoni mwa wafanyabiashara wanne waliofikia fainali ya kuwania Tuzo ya Mwaka ya Mfanyabiashara Bora Afrika (AABLA), kundi la Afrika Mashariki....

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ACHAGULIWA KUWA KIONGOZI MWENYE MCHANGO MKUBWA ZAIDI KATIKA MAENDELEO BARANI AFRIKA KWA MWAKA 2013

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na maafisa na wageni mbalimbali katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani  mjini Washington DC, Marekani, ambako atapokea tuzo ya Africa’s Most Impactful Leader of the Year kwa niaba ya Mhe. Jakaya Mrisho
Kikwete, Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania mjini humo leo April 9, 2014. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK achaguliwa kuwa Rais Bora Afrika

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, amechaguliwa kuwa kiongozi mwenye mchango mkubwa zaidi katika maendeleo barani Afrika kwa mwaka 2013. Heshima hiyo kwa Rais Kikwete imetolewa na...

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM YAPATA TUZO YA KUWA MWAJIRI BORA NCHINI AFRIKA YA KUSINI

-Inaongoza katika sekta ya mawasilianoKampuni ya mawasiliano ya Vodacom imepata tuzo ya kuwa mwajiri bora katika sekta ya mawasiliano pia ipo miongoni mwa makampuni kumi bora yanayotoa ajira na kuwa na mazingira bora kwa wafanyakazi wake nchini Afrika ya Kusini kwa mwaka 2015.Hafla ya kutangaza makampuni yanayoongoza kwa ajira nchini Afrika ya Kusini ilifanyika jana katika eneo la Gallagher Estate mjini Jahannesburg ambapo Vodacom ilitangazwa kuwa miongoni mwa makampuni 10 bora yanayoongoza...

 

10 years ago

Vijimambo

Samia Suluhu achaguliwa kuwa mgombea mwenza

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM john Pombe Magufuli na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan mara baada ya mkutano Mkuu wa CCM kuwachagua kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi wa Urais utakaofanyika Oktoba,2015 (picha na Freddy Maro).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani