Mwinyi azindua maabara ya utafiti wa Kutambua Sampuli Ya Vinasaba
Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi amezindua maabara ya utafiti wa Vinasaba itakayoiwezesha Tanzania kubaini magonjwa na kuyatibu na hatimaye kupunguza gharama za kusafirisha sampuli kwenda nje ya nchi kwaajili ya uchunguzi.
Tanzania inakua ya pili kwenye nchi za Afrika kuwa na maabara hiyo ya kimataifa baada ya Afrika Kusini na hivyo kunufaika zaidi kupitia nchi nyingine kuleta vinasaba vyao nchini kwajili ya uchunguzi.
Vinasaba ni chembechembe zilizopo kwenye mwili wa...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo22 Dec
Maabara ya vinasaba ya pili Afrika yazinduliwa MUHAS
TANZANIA inatarajiwa kuanza kuokoa mamilioni ya Shilingi yaliyokuwa yakienda nje ya nchi kwa ajili ya uchunguzi wa vinasaba baada ya kuzindua maabara yake ambayo ni ya pili katika Bara la Afrika.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-bxlltlywdqA/Xtc8X-UjRVI/AAAAAAAAnug/7dVOD1_9LJ0kMySeqNRT8qtdyZ6lNnV6wCLcBGAsYHQ/s72-c/124b0cab-8967-4a24-9e61-4019b285f2c7%2B%25281%2529.jpg)
TBS KUANZA KUTUMIA MAABARA YA NYEGEZI MWANZA KUPIMA SAMPULI ZA VYAKULA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-bxlltlywdqA/Xtc8X-UjRVI/AAAAAAAAnug/7dVOD1_9LJ0kMySeqNRT8qtdyZ6lNnV6wCLcBGAsYHQ/s400/124b0cab-8967-4a24-9e61-4019b285f2c7%2B%25281%2529.jpg)
Mkurugenzi Mkuu wa TBS Dkt Athuman Ngenya ameyasema hayo leo wakati wa Ziara ya Katibu Mkuu wa WIizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe aliyeambatana na Naibu wake Mhe. Ludovick Nduhiye, katika ofisi za TBS jijini Mwanza.
Dkt. Ngenya amesema kwa sasa TBS na NQCL zipo...
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Dk. Mwinyi azindua kampuni SumaJKT
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, amezindua Kampuni ya Ulinzi ya Suma JKT huku akiwaahidi kuwasaidia kuondoa tatizo sugu la ukusanyaji wa madeni. Akizungumza katika...
11 years ago
Habarileo19 Feb
Mwinyi azindua upasuaji wa mtoto wa jicho Mkuranga
RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amesema kuwa utoaji wa huduma za jamii na kiuchumi kama vile afya elimu maji na ajira bado ni changamoto kubwa kwa Watanzania wengi hasa upande wa afya.
9 years ago
StarTV11 Nov
Mwinyi azindua kiwanda cha  zana za kilimo, ujenzi
Rais mstaafu wa awamu ya Pili Ally Hassan Mwinyi amezindua kiwanda cha kuuza dhana bora za kilimo na ujenzi zitakazokuwa zinauzwa hapa nchini kwenye Kiwanda cha AVIC-SHANTUI Tanzania Limited kitakachomilikiwa na ndugu na rafiki wa muda mrefu wa Tanzania kutoka China.
Matarajio ya baadaye ya Kiwanda hicho ni kuzalisha bidhaa hapa hapa nchini kwa kutumia chuma kutengeneza dhana mbalimbali za Kilimo pamoja na vifaa vya ujenzi hali itakayochangia kukuza uchumi wa Taifa.
Rais Mwinyi amewataka...
11 years ago
MichuziMZEE MWINYI AZINDUA MPANGO ENDELEVU KWA WAKULIMA
9 years ago
Mwananchi10 Nov
Mwinyi azindua kampuni ya vifaa vya ujenzi, kilimo
11 years ago
GPLMZEE MWINYI AZINDUA MPANGO ENDELEVU KWA WAKULIMA