Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Mwinyi azindua kampuni SumaJKT

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, amezindua Kampuni ya Ulinzi ya Suma JKT huku akiwaahidi kuwasaidia kuondoa tatizo sugu la ukusanyaji wa madeni. Akizungumza katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mwinyi azindua kampuni ya vifaa vya ujenzi, kilimo

Rais Mstaafu  wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi amezindua kampuni kubwa ya China ya kuuza vifaa vya kilimo na ujenzi, ambapo ameeleza ni hatua kubwa katika safari ya maendeleo inayoshika kasi nchini. Kampuni hiyo ya Avic-Shantui Tanzania Ltd, inatengeneza magari  ya ujenzi yakiwamo matingatinga, makatapila ya kushindilia na kusawazisha udongo na gari maalum la kuchanganya zege.

 

11 years ago

Habarileo

Mwinyi azindua upasuaji wa mtoto wa jicho Mkuranga

RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amesema kuwa utoaji wa huduma za jamii na kiuchumi kama vile afya elimu maji na ajira bado ni changamoto kubwa kwa Watanzania wengi hasa upande wa afya.

 

9 years ago

StarTV

Mwinyi azindua kiwanda cha  zana za kilimo, ujenzi

Rais mstaafu wa awamu ya Pili Ally Hassan Mwinyi amezindua kiwanda cha kuuza dhana bora za kilimo na ujenzi zitakazokuwa zinauzwa hapa nchini kwenye Kiwanda cha AVIC-SHANTUI Tanzania Limited kitakachomilikiwa na ndugu na rafiki wa muda mrefu wa Tanzania kutoka China.

Matarajio ya baadaye ya Kiwanda hicho ni kuzalisha bidhaa hapa hapa nchini kwa kutumia chuma kutengeneza dhana mbalimbali za Kilimo pamoja na vifaa vya ujenzi hali itakayochangia kukuza uchumi wa Taifa.

 Rais Mwinyi amewataka...

 

11 years ago

Michuzi

MZEE MWINYI AZINDUA MPANGO ENDELEVU KWA WAKULIMA

Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akizindua mpango maalumu na endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa bei nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania,anaeshuhudia kulia ni Diwani wa Kwadelo wilaya ya kondoa mkoani Dodoma,Bw.Omary Kariati aliefanyikisha mradi huo na kununua trekta(15)kwaajili ya wakulima nchini.Hafla hiyo ilifanyika Mikocheni jijini Dar es Salaam jana. Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akiwasha Trekta...

 

9 years ago

StarTV

Mwinyi azindua maabara ya utafiti wa Kutambua Sampuli Ya Vinasaba

 

Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi amezindua maabara ya utafiti wa  Vinasaba itakayoiwezesha Tanzania kubaini magonjwa na kuyatibu na hatimaye kupunguza gharama za kusafirisha sampuli kwenda nje ya nchi kwaajili ya uchunguzi.

Tanzania inakua ya pili kwenye nchi za Afrika kuwa na maabara hiyo ya kimataifa baada ya Afrika Kusini na hivyo kunufaika zaidi kupitia nchi nyingine kuleta vinasaba vyao nchini kwajili ya uchunguzi.

Vinasaba ni chembechembe zilizopo kwenye mwili wa...

 

11 years ago

GPL

MZEE MWINYI AZINDUA MPANGO ENDELEVU KWA WAKULIMA‏

Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akizindua mpango maalumu na  endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchini kupata trekta kwa bei nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania, anaeshuhudia kulia ni Diwani wa Kwadelo wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Bw. Omary Kariati aliyefanyikisha mradi huo na kununua trekta 15 kwa ajili ya wakulima nchini. Hafla hiyo ilifanyika Mikocheni jijini Dar es Salaam jana. ...

 

11 years ago

GPL

MZEE MWINYI AZINDUA TAWI LA BENKI YA KCB SHARIAH JIJINI DAR ES SALAAM‏

Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (Katikati)akizindua tawi jipya la Benki ya KCB Shariah Lililopo barabara ya Lumumba jijini Dar es Salaam, litakalotoa  huduma kwa kuzingatia maadili ya kiislamu,ambapo watapata mikoipo isiyokuwa na riba .Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania  Moezz Mir, wapili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa benki hiyo Dr.Edmund Mndolwa na wakwanza Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI, ALI HASSAN MWINYI AZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA NCHINI

 Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (wa pili kushoto) akiongozana na jaji mkuu wa Tanzania, Mohamed Othaman Chande  (watatu kushoto) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki (wa kwanza kushoto), Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Ally LILA  wakiwa katika matembezi ya kuadhimisha wiki ya sheria nchini matembezi hayo yalianzia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuishia katika viwanja vya mnazi mmoja jijini...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi azindua msikiti wa Masjidil Huda Chamazi Mbagala Jijini Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokelewa na Mwenyeji wake Mwenyekiti wa Makampuni ya SSB, Said Salim Bakhresa, wakati alipowasili Msikiti wa ‘Masjidil Huda’ uliopo Chamazi jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria uzinduzi wa msikiti huo uliofanyika jana Julai 4, 2014.(Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wenyeji wake wakati alipowasili Msikiti wa ‘Masjidil Huda’...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani