Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwinyi azindua upasuaji wa mtoto wa jicho Mkuranga

RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amesema kuwa utoaji wa huduma za jamii na kiuchumi kama vile afya elimu maji na ajira bado ni changamoto kubwa kwa Watanzania wengi hasa upande wa afya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Aina za ugonjwa wa mtoto wa jicho

Wiki hii kwenye makala yetu ninakuletea sehemu ya pili ya maelezo yangu kuhusiana na maradhi ya mtoto wa jicho (cataract). Leo hii tunaangalia aina za maradhi haya, vipimo vyake, matibabu yake na namna ya kujikinga na maradhi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Mwinyi azindua kampuni SumaJKT

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, amezindua Kampuni ya Ulinzi ya Suma JKT huku akiwaahidi kuwasaidia kuondoa tatizo sugu la ukusanyaji wa madeni. Akizungumza katika...

 

11 years ago

Michuzi

SIKU YA MTOTO WA AFRIKA ILIVYOADHIMISHWA WILAYANI MKURANGA

Mgeni rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika, Makamu Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga,Mhe Juma Abeid akifuatilia sherehe hizo katika viwanja vya Shule ya Msingi Kiparang’ada. Kushoto kwake ni Diwani wa Kata ya Kiparang’anda Mhe Karu Amani Karavina, na Kulia ni Mke wa Mbunge wa Mkuranga,Mama Naima Malima. Mke wa Mbunge wa Mkuranga,Mama Naima Malima akizungumza machache wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika,yaliyofanyika Juni 16 katika shule...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwinyi azindua kampuni ya vifaa vya ujenzi, kilimo

Rais Mstaafu  wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi amezindua kampuni kubwa ya China ya kuuza vifaa vya kilimo na ujenzi, ambapo ameeleza ni hatua kubwa katika safari ya maendeleo inayoshika kasi nchini. Kampuni hiyo ya Avic-Shantui Tanzania Ltd, inatengeneza magari  ya ujenzi yakiwamo matingatinga, makatapila ya kushindilia na kusawazisha udongo na gari maalum la kuchanganya zege.

 

9 years ago

StarTV

Mwinyi azindua kiwanda cha  zana za kilimo, ujenzi

Rais mstaafu wa awamu ya Pili Ally Hassan Mwinyi amezindua kiwanda cha kuuza dhana bora za kilimo na ujenzi zitakazokuwa zinauzwa hapa nchini kwenye Kiwanda cha AVIC-SHANTUI Tanzania Limited kitakachomilikiwa na ndugu na rafiki wa muda mrefu wa Tanzania kutoka China.

Matarajio ya baadaye ya Kiwanda hicho ni kuzalisha bidhaa hapa hapa nchini kwa kutumia chuma kutengeneza dhana mbalimbali za Kilimo pamoja na vifaa vya ujenzi hali itakayochangia kukuza uchumi wa Taifa.

 Rais Mwinyi amewataka...

 

9 years ago

StarTV

Mwinyi azindua maabara ya utafiti wa Kutambua Sampuli Ya Vinasaba

 

Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi amezindua maabara ya utafiti wa  Vinasaba itakayoiwezesha Tanzania kubaini magonjwa na kuyatibu na hatimaye kupunguza gharama za kusafirisha sampuli kwenda nje ya nchi kwaajili ya uchunguzi.

Tanzania inakua ya pili kwenye nchi za Afrika kuwa na maabara hiyo ya kimataifa baada ya Afrika Kusini na hivyo kunufaika zaidi kupitia nchi nyingine kuleta vinasaba vyao nchini kwajili ya uchunguzi.

Vinasaba ni chembechembe zilizopo kwenye mwili wa...

 

11 years ago

Michuzi

MZEE MWINYI AZINDUA MPANGO ENDELEVU KWA WAKULIMA

Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akizindua mpango maalumu na endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa bei nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania,anaeshuhudia kulia ni Diwani wa Kwadelo wilaya ya kondoa mkoani Dodoma,Bw.Omary Kariati aliefanyikisha mradi huo na kununua trekta(15)kwaajili ya wakulima nchini.Hafla hiyo ilifanyika Mikocheni jijini Dar es Salaam jana. Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akiwasha Trekta...

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto ahitaji mil.13/- kufanyiwa upasuaji

MTOTO Riziki Massawe (13) wa kijiji cha Mkalama wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro anahitaji msaada wa Sh milioni 12.5 kwa ajili ya matibabu na upasuaji mkubwa wa moyo wake.

 

11 years ago

GPL

MZEE MWINYI AZINDUA MPANGO ENDELEVU KWA WAKULIMA‏

Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akizindua mpango maalumu na  endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchini kupata trekta kwa bei nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania, anaeshuhudia kulia ni Diwani wa Kwadelo wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Bw. Omary Kariati aliyefanyikisha mradi huo na kununua trekta 15 kwa ajili ya wakulima nchini. Hafla hiyo ilifanyika Mikocheni jijini Dar es Salaam jana. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani