MZEE MWINYI AZINDUA MPANGO ENDELEVU KWA WAKULIMA
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akizindua mpango maalumu na endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchini kupata trekta kwa bei nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania, anaeshuhudia kulia ni Diwani wa Kwadelo wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Bw. Omary Kariati aliyefanyikisha mradi huo na kununua trekta 15 kwa ajili ya wakulima nchini. Hafla hiyo ilifanyika Mikocheni jijini Dar es Salaam jana. ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMZEE MWINYI AZINDUA MPANGO ENDELEVU KWA WAKULIMA
11 years ago
GPLMZEE MWINYI AZINDUA TAWI LA BENKI YA KCB SHARIAH JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO MKAKATI WA KUONGEZA KASI YA KUPUNGUZA VIFO VYA UZAZI, WATOTO
9 years ago
Mtanzania15 Dec
Kortini kwa kuingia nyumbani kwa Mzee Mwinyi
NA MANENO SELANYIKA, DAR ES SALAAM
MKAZI wa Ilala Mtaa wa Lindi, Hafidhi Ally (23), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni akikabiliwa na tuhuma za kuvamia kisha kuingia nyumbani kwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi.
Mbele ya Hakimu Ester Kihiyo, karani wa mahakama hiyo, Mosses Mchome, alidai kwamba mtuhumiwa alifanya kosa hilo Desemba 10, mwaka huu saa 7:30 usiku nyumbani kwa Mzee Mwinyi, Mikocheni B, Dar es Salaam.
Karani Mchome aliiambia mahakama hiyo kwamba, Hafidhi...
10 years ago
Michuzi
WAZIRI LUKUVI AHIMIZA MPANGO SHIRIKISHI KUENDELEZA ARDHI KATA YA MAKONGO KWA MATUMIZI BORA NA ENDELEVU.


10 years ago
VijimamboRais Kikwete ampongeza Mzee Mwinyi kwa kutimiza miaka 90
Rais Mstaafu awamu ya Pili Alhaji Hassan Mwinyi akitoa salamu zake kwa wageni waalikwa wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa ambapo jana alitimiza umri wa miaka 90.Sherehe hiyo ilifanyika katika hoteli ya Sea Cliff na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali.
10 years ago
GPL
DR. MENGI AZINDUA MPANGO WA AIRTEL FURSA 'TUNAKUWEZESHA' JIJINI DAR
9 years ago
MillardAyo15 Dec
Wabunge walioukataa Uwaziri, Mapigano ya wakulima, wafugaji, aliyevamia kwa MWINYI bila taarifa…#MAGAZETINI
MTANZANIA Wabunge wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametajwa kukataa uteuzi wa nafasi ya uwaziri ili kujaza nafasi za wizara nne zilizokuwa wazi, imebainika. Hatua hiyo imetokana na kile kilichoelezwa kuwa ni hofu ya wabunge hao kushindwa kwenda na kasi ya Rais Dk. John Magufuli, ambaye aliwaapisha mawaziri wapya Desemba 12, mwaka huu. Wabunge hao […]
The post Wabunge walioukataa Uwaziri, Mapigano ya wakulima, wafugaji, aliyevamia kwa MWINYI bila taarifa…#MAGAZETINI appeared first on...
11 years ago
Michuzi
NSSF YAPANUA WIGO WA HUDUMA ZAKE KWA KUANZISHA MPANGO MAALUMU KWA WAKULIMA NA WACHIMBA MADINI WADOGO

