Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZEE MWINYI AZINDUA TAWI LA BENKI YA KCB SHARIAH JIJINI DAR ES SALAAM‏

Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (Katikati)akizindua tawi jipya la Benki ya KCB Shariah Lililopo barabara ya Lumumba jijini Dar es Salaam, litakalotoa  huduma kwa kuzingatia maadili ya kiislamu,ambapo watapata mikoipo isiyokuwa na riba .Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania  Moezz Mir, wapili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa benki hiyo Dr.Edmund Mndolwa na wakwanza Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BENKI YA KCB TANZANIA YAMWAGA MISAADA JIJINI‏

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya KCB Tanzania Moezz Mir (wa pili toka kulia) akimkabidhi msaada wa Mashine ya kupasha moto vifaa vya hospitali kabla ya matumizi na baada ya matumizi  kwa mgonjwa (Sterilizer) Mkurugenzi wa Zahanati ya Njia Heath Centre ya Kiwalani jijini Dar es Salaam, Bw. Stephen Mosha (wa pili toka kushoto). Benki hiyo ilitoa msaada wa vifaa mbalimbali vyote vyenye thamani ya  shilingi milioni 5, wengine...

 

11 years ago

GPL

MZEE MWINYI AZINDUA MPANGO ENDELEVU KWA WAKULIMA‏

Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akizindua mpango maalumu na  endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchini kupata trekta kwa bei nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania, anaeshuhudia kulia ni Diwani wa Kwadelo wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Bw. Omary Kariati aliyefanyikisha mradi huo na kununua trekta 15 kwa ajili ya wakulima nchini. Hafla hiyo ilifanyika Mikocheni jijini Dar es Salaam jana. ...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA KCB TANZANIA YATOA MSAADA WA MADWATI 1000 KWA SHULE KUMI ZA DAR ES SALAAM

 Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB Tanzania Christina Manyneye( kulia) akimkabidhi mwalimu mkuu wa shule ya msisiri Kinondoni  jijini Dar es salaam, Susan Orege  moja ya dawati kati ya 100 waliyopewa msaada na benki hiyo wakati wa hafla fupi iliyofanyika shuleni hapo .Katikati ni MKurugenzi Mkuu wa mamlaka ya Elimu Tanzania Joel  Laurent akishuhudia ,Shule kumi za msingi za jijini zimenufaika na msaada huo wa kila shule kupata madawati 100. Mkuu wa Masoko na mahusiano wa Benki ya...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YAIPONGEA BENKI YA ACCESS KUFUNGUA TAWI LAKE JIJINI MBEYA‏

Mwakilishi wa Benki ya Access kutoka Makao makuu jijini Dar es salaam, Sebastian Gaissert, akitoa hotuba yake katika sherehe za uzinduzi wa tawi la benki hiyo mkoani Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Abbas Kandoro akizungumza na…

 

9 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KUHIFADHIA MADAWA LA HOSPITALI YA CCBRT JIJINI DAR ES SALAAM IJUMAA OKTOBA 3, 2015‏

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick.… ...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA MELI VITA MBILI ZA KIKOSI CHA WANAMAJI CHA JWTZ JIJINI DAR ES SALAAM LEO‏

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi… ...

 

11 years ago

GPL

BENKI YA KCB TANZANIA YAENDELEA KUSAIDIA JAMII‏

IMG 7855 na IMG 7852: Mganga Mkuu wa Jiji la Mwanza Dk  Kokugonza Mugeye(kushoto) akimkabidhi mashine ya ultrasound  Daktari Mfawidhi wa kituo cha Afya Makongoro Dk Mkama Magoti Membe katika halfla fupi iliyofanyika katika kituo hicho juzi. Mashine hiyo ni baadhi ya vifaa tiba vilivyotolewa na  benki ya KCB katika mpango wake wa kuboresha afya kwa wateja wake kanda ya Ziwa.
Meneja wa Banki KCB Joseph Njile...

 

11 years ago

GPL

HOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA YAPIGWA JEKI NA BENKI YA KCB TANZANIA‏

Daktari wa kitengo maalum cha wakina mama katika hospitali ya Mount Meru ya jijini Arusha,Mathew Kasumuni(Kushoto) akipokea msaada wa  kitanda na vifaa tiba mbalimbali kutoka kwa Meneja  benki ya KCB Tanzania tawi la arusha Judith Lubuva kwa ajili ya akina mama wenye matatizo ya uzazi wanaotibiwa katika hospitali hiyo.Benki hiyo pia ilitoa msaada wa kitanda kwaajili ya kinamama wakati wa kujifungulia chenye thamani ya zaidi...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WAWASHUKURU WATEJA KWA KUWAPA ZAWADI JIJINI DAR LEO.

 Meneja wa Benki ya CRDB  tawi la Water Front, Donath Shirima akimkabidhi tunzo katika ofisi za Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Reli, Benhdard Tito,kwa kumshukuru kuwa mteja benki hiyo katika tawi la Water Front kwa kuadhimisha wiki ya huduma kwa mteja inayoendelea kufanyika katika tawi hilo jijini Dar es Salaam leo. Meneja wa Benki ya CRDB  tawi la Water Front, Donath Shirima akimkabidhi tunzo, Mkurugenzi Mkuu wa Fedha wa kampuni ya NAS, Prakash Shenoy kumshukuru mteja huyo wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani