BENKI YA KCB TANZANIA YAENDELEA KUSAIDIA JAMII
IMG 7855 na IMG 7852: Mganga Mkuu wa Jiji la Mwanza Dk Kokugonza Mugeye(kushoto) akimkabidhi mashine ya ultrasound Daktari Mfawidhi wa kituo cha Afya Makongoro Dk Mkama Magoti Membe katika halfla fupi iliyofanyika katika kituo hicho juzi. Mashine hiyo ni baadhi ya vifaa tiba vilivyotolewa na benki ya KCB katika mpango wake wa kuboresha afya kwa wateja wake kanda ya Ziwa. Meneja wa Banki KCB Joseph Njile...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkyfCv3zf7WqDOBvRiOdwdGzeg2u2lAB22L8MomAsEH2yYNS8Il69oWoh3eOqrQiax8yvPRdHqOflY2e9yL299pE/KCB1.jpg?width=650)
BENKI YA KCB YAJIKITA ZAIDI KUSAIDIA JAMII
Mganga mfawidhi wa hospitali ya Rufaa ya mkoa, Mawenzi, Dkt. Lwezaula Fredrick(katikati) akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa misaada ya vifaa vya hospitali vyenye thamani ya shilingi milioni 15 kutoka kwa benki ya KCB Tanzania mjini Moshi, mkoa wa Kilimanjaro. Wakisikiliza kwa makini ni meneja wa tawi la Moshi benki ya KCB Tanzania, Oforo Erasmo(kushoto), Kaimu katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro, Mhandisi Alfred...
11 years ago
GPLBENKI YA KCB TANZANIA YAMWAGA MISAADA JIJINI
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya KCB Tanzania Moezz Mir (wa pili toka kulia) akimkabidhi msaada wa Mashine ya kupasha moto vifaa vya hospitali kabla ya matumizi na baada ya matumizi kwa mgonjwa (Sterilizer) Mkurugenzi wa Zahanati ya Njia Heath Centre ya Kiwalani jijini Dar es Salaam, Bw. Stephen Mosha (wa pili toka kushoto). Benki hiyo ilitoa msaada wa vifaa mbalimbali vyote vyenye thamani ya shilingi milioni 5, wengine...
11 years ago
GPLHOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA YAPIGWA JEKI NA BENKI YA KCB TANZANIA
Daktari wa kitengo maalum cha wakina mama katika hospitali ya Mount Meru ya jijini Arusha,Mathew Kasumuni(Kushoto) akipokea msaada wa kitanda na vifaa tiba mbalimbali kutoka kwa Meneja benki ya KCB Tanzania tawi la arusha Judith Lubuva kwa ajili ya akina mama wenye matatizo ya uzazi wanaotibiwa katika hospitali hiyo.Benki hiyo pia ilitoa msaada wa kitanda kwaajili ya kinamama wakati wa kujifungulia chenye thamani ya zaidi...
11 years ago
GPLMZEE MWINYI AZINDUA TAWI LA BENKI YA KCB SHARIAH JIJINI DAR ES SALAAM
Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (Katikati)akizindua tawi jipya la Benki ya KCB Shariah Lililopo barabara ya Lumumba jijini Dar es Salaam, litakalotoa huduma kwa kuzingatia maadili ya kiislamu,ambapo watapata mikoipo isiyokuwa na riba .Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania Moezz Mir, wapili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa benki hiyo Dr.Edmund Mndolwa na wakwanza Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha...
10 years ago
GPLAIRTEL YAENDELEA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU HAPA NCHINI
Meneja wa Airtel Simiyu Bw. Ezekiel Nungwi akikabidhi msaada wa vitabu vya sayansi kwa Mkuu wa wilaya ya Bariadi Bw. Erasto Sima Mkuu wa shule ya sekondari ya Bariadi Bw. Pawa Lutema akipokea msaada wa vitabu vya sayansi kutoka kwa mkuu wa wilaya Bariadi.…
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7RfT1AGZbDA/U7hIHiXYcCI/AAAAAAAFvME/nkX-2A_r1RI/s72-c/unnamed+(34).jpg)
HOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA YAPIGWA JEKI NA BENKI YA KCB TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-7RfT1AGZbDA/U7hIHiXYcCI/AAAAAAAFvME/nkX-2A_r1RI/s1600/unnamed+(34).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-yEWLwM7Uvms/U7hIH3tcGvI/AAAAAAAFvMM/3BLMF3LH8Yg/s1600/unnamed+(35).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-DG05ADX8PVw/VbePoJ3zC9I/AAAAAAAHsRU/0znpAyOSa9s/s72-c/01tabata.jpg)
TABATA SHULE YA MSINGI YANUFAIKA NA MSAADA WA MADAWATI 100 TOKA BENKI YA KCB TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-DG05ADX8PVw/VbePoJ3zC9I/AAAAAAAHsRU/0znpAyOSa9s/s640/01tabata.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-M3vrd9c-rNI/VbePovO2UfI/AAAAAAAHsRY/vMlLKRJPNOw/s640/02.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9cShK2foXnM/Va-hWz-isdI/AAAAAAAHrD0/YndRxZCO_NQ/s72-c/unnamed%2B%252846%2529.jpg)
BENKI YA KCB TANZANIA YATOA MSAADA WA MADWATI 1000 KWA SHULE KUMI ZA DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-9cShK2foXnM/Va-hWz-isdI/AAAAAAAHrD0/YndRxZCO_NQ/s640/unnamed%2B%252846%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-b5ENpZYD5Rw/Va-hWx0KYVI/AAAAAAAHrDw/GAGmLD_sxNU/s640/unnamed%2B%252847%2529.jpg)
10 years ago
GPLJAMII YASHAURIWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUSAIDIA WATU WENYE SHIDA MBALIMBALI
Meneja wa Vodacom Tanzania kanda ya Pwani Lindi, Allen Nyumbo(watatu toka kushoto) akimkabidhi Mzee Selemani Musa Mkazi wa Lindi kapu lenye vyakula mbalimbali kama msaada kwa ajili ya Mwezi mtukufu wa Ramadhani  msaada huo ulitolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake  Pamoja na Vodacom.  Mkazi wa Lindi Mkoa wa Pwani Aisha Saleh(wane toka kushoto)akipokea kapu lenye… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania