HOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA YAPIGWA JEKI NA BENKI YA KCB TANZANIA
.jpg)
Baadhi ya wafanyakazi wa hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa benki ya KCB Tanzania tawi la Arusha baada ya kupokea msaada wa kitanda maalumu chenye thamani ya shilingi Milioni 11 kwa ajili ya akina mama kutumia wakati wa kujifungua na vifaa tiba mbalimbali, msaada huo ulitolewa na tawi la benki hiyo mkoani arusha.
Daktari wa kitengo maalum cha wakina mama katika hospitali ya Mount Meru ya jijini Arusha,Mathew Kasumuni(Kushoto) akiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLHOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA YAPIGWA JEKI NA BENKI YA KCB TANZANIA
5 years ago
Michuzi
KAMATI YA BUNGE MASUALA YA UKIMWI YATEMBELEA HOSPITALI YA MOUNT MERU JIJINI ARUSHA



5 years ago
Michuzi
DKT. MOLLEL AONDOA UONGOZI WA HOSPITALI YA MOUNT MERU
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel ameagiza kuondolewa kwa safu ya uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru inayoongozwa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dkt. Shafii Msechu ikiwa ni sehemu ya maboresho katika Sekta ya Afya.
Dkt. Mollel ametoa agizo hilo wakati alipofanya ziara katika Hospitali hiyo na kuzungumza na timu ya uendeshaji wa huduma za Afya ya Mkoa ukiongozwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha...
10 years ago
Michuzi22 Sep
MBIO ZA RIADHA ZA MOUNT MERU MARATHON KUTIMUA VUMBI OCTOBA 4 ARUSHA

Katibu wa chama cha riadha mkoani hapa Alfredo Shahanga alisema kwuwa mbio hizo ni za...
11 years ago
CloudsFM08 Jul
KITU KINACHOSADIKIWA NI BOMU CHALIPUKA ARUSHA, JIRANI NA HOTELI YA MOUNT MERU
Kitu kinachosadikiwa ni bomu kimelipuka na inasemekana watu wamefariki dunia katika mgahawa wa Wama uliopo maeneo ya Gymkhana jijini Arusha.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia leo na kusababisha watu zaidi ya 8 kujeruhiwa vibaya, idadi ya waliopoteza maisha bado haijajulikana, majeruhi wote wamepelekwa katika hospitali ya Seliani jijini Arusha.Jeshi la Wananchi likishirikiana na Jeshi la Polisi wanachunguza chanzo cha bomu hilo.
11 years ago
MichuziTBL YAFANIKISHA UPANDANJI MITI 1250 CHUO KIKUU CHA MOUNT MERU ARUSHA
11 years ago
GPLTBL YAFANIKISHA UPANDANJI MITI 1250 CHUO KIKUU CHA MOUNT MERU ARUSHA
10 years ago
Dewji Blog02 Sep
Hospitali ya Mkoa Singida yapigwa tafu ya mashuka na benki ya Posta nchini
Meneja wa benki ya Posta tawi la Singida, Redenoter Rweyemamu, akizungumza kwenye hafla ya benki hiyo kutoa msaada wa shuka 104 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili, kwa hospitali ya mkoa mjini hapa, inayokabiliwa na uhaba wa shuka na kusababisha wagonjwa kutumia mashuka yao binafsi kitendo ambacho ni kinyume na taratibu.
9 years ago
Michuzi
BENKI YA NIC YAIPIGA JEKI HOSPITALI YA MEDEWELL, ILIYOPO KIBAHA MKOANI PWANI



