Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBL YAFANIKISHA UPANDANJI MITI 1250 CHUO KIKUU CHA MOUNT MERU ARUSHA


 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Maunt Meru, mkoani Arusha Mchungaji Profesa Harrison Olang' (kulia), akishikana mikono na Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL), Bw. Devis Deogratius, baada ya kampuni hiyo kutoa miti 1300 kwa ajili ya mkoa wa Arusha, ambapo miti 1250 ilipandwa Chuoni hapo na miti 50 ilipandwa kwenye kiwanda cha TBL.
 Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), mkoani Arusha Bw. Devis Deogratius (aliyepiga magoti), akishiriki kupanda moja ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TBL YAFANIKISHA UPANDANJI MITI 1250 CHUO KIKUU CHA MOUNT MERU ARUSHA‏

 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Maunt Meru, mkoani Arusha Mchungaji Profesa Harrison Olang' (kulia), akishikana mikono na Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL), Bw. Devis Deogratius, baada ya kampuni hiyo kutoa miti 1300 kwa ajili ya mkoa wa Arusha, ambapo miti 1250 ilipandwa Chuoni hapo na miti 50 ilipandwa kwenye kiwanda cha TBL.
 Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni… ...

 

11 years ago

Habarileo

TBL wapanda miti 1,250 Chuo Kikuu Mount Meru

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Mkoa wa Arusha, wamepanda miti 1,250 katika eneo la Chuo Kikuu cha Mount Meru (MMU) ikiwa ni sehemu ya utunzaji wa mazingira mkoani humo.

 

10 years ago

Vijimambo

MKURUGENZI MTENDAJI WA TBL AENDESHA MHADHARA CHUO KIKUU CHA STEFANO MOSHI

 Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Usimamizi wa Biashara na Elimu wa Chuo Kikuu cha Stefano Moshi (SMMUCO),Tawi la Moshi Mjini wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na SABMiller East Africa, Roberto Jarrin alipokuwa akitoa mhadhara wa masuala ya biashara na masoko chuoni hapo, mwishoni mwa wiki. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na SABMiller East Africa, Roberto Jarrin (kushoto) akibadilishana mawazo na Afisa Mipango wa Chuo Kikuu cha Stefano...

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU MPYA WA TBL AKAGUA MAJENGO WALIYOYAKABIDHI KWA CHUO KIKUU CHA STEPHANO MOSHI

 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL,Roberto Jarrin akiongozwa na mkufunzi katika Chuo Kikuu Kishiriki cha kumbukumbu ya Stephano Moshi,Gasper Mpehongwa kutembelea vyumba vya madarasa ambavyo vinatumika kwa ajili ya masomo pamoja na mitihanikatika eneo la TBL mjini Moshi.Eneo hilo limetolewa na TBL kwa chuo hicho ikiwa ni kurudisha sehemu ya faida inayopatikana kwa wananchi.
 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL,Roberto Jarrin akiwa ameambatana na mkuu wa chuo Kikuu...

 

11 years ago

CloudsFM

KITU KINACHOSADIKIWA NI BOMU CHALIPUKA ARUSHA, JIRANI NA HOTELI YA MOUNT MERU

Kitu kinachosadikiwa ni bomu kimelipuka na inasemekana watu wamefariki dunia katika mgahawa wa Wama uliopo maeneo ya Gymkhana jijini Arusha. Tukio hilo la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia leo na kusababisha watu zaidi ya 8 kujeruhiwa vibaya, idadi ya waliopoteza maisha bado haijajulikana, majeruhi wote wamepelekwa katika hospitali ya Seliani jijini Arusha.Jeshi la Wananchi likishirikiana na Jeshi la Polisi wanachunguza chanzo cha bomu hilo.

 

11 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA YAPIGWA JEKI NA BENKI YA KCB TANZANIA

 Baadhi ya wafanyakazi wa hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru wakiwa kwenye picha ya  pamoja na wafanyakazi wa benki ya KCB Tanzania tawi la Arusha baada ya kupokea msaada wa kitanda maalumu chenye thamani ya shilingi Milioni 11 kwa ajili ya akina  mama kutumia wakati wa kujifungua  na vifaa tiba mbalimbali, msaada huo ulitolewa na tawi la benki hiyo mkoani arusha. Daktari wa kitengo maalum cha wakina mama katika hospitali ya Mount Meru ya jijini Arusha,Mathew Kasumuni(Kushoto) akiwa...

 

9 years ago

Michuzi

MBIO ZA RIADHA ZA MOUNT MERU MARATHON KUTIMUA VUMBI OCTOBA 4 ARUSHA

Na Woinde Shizza,ArushaBaada ya kutokuwepo kwa mbio za riadha zijulikanazo kama mount meru Marathon kwa miaka 15 sasa ,hatimaye wadau wa mchezo wamjitokeza na kurudisha mbio hizo ambazo zinatarajiwa kufanyika  octoba 4 jijini Arusha.Mbio hizo za km 21 zilifanyika mara ya mwisho mwaka 2000,ambapo hazikuendelea tena kutokana na kukosa wadhamini hali iliyopelekea kukosa hamasa kwa wanariadha  mabalimbali.
Katibu wa chama cha riadha mkoani hapa  Alfredo Shahanga alisema kwuwa mbio hizo ni za...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE MASUALA YA UKIMWI YATEMBELEA HOSPITALI YA MOUNT MERU JIJINI ARUSHA

 Watumishi wa Hospitali ya Mount Meru wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya (hayupo pichani) alipowasili katika hospitali hiyo.
 Wajumbe wa Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya pamoja na watumishi wa Afya wa Hospitali ya Mount Meru wakisikiliza kwa makini taarifa inayowasilishwa ya hali ya wagonjwa wanaoishi na virusi vya ukimwi pamoja na takwimu za ugonjwa huo kwa Jiji la Arusha.
 Susan Lyimo akichangia jambo baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani