MBIO ZA RIADHA ZA MOUNT MERU MARATHON KUTIMUA VUMBI OCTOBA 4 ARUSHA
Na Woinde Shizza,ArushaBaada ya kutokuwepo kwa mbio za riadha zijulikanazo kama mount meru Marathon kwa miaka 15 sasa ,hatimaye wadau wa mchezo wamjitokeza na kurudisha mbio hizo ambazo zinatarajiwa kufanyika octoba 4 jijini Arusha.Mbio hizo za km 21 zilifanyika mara ya mwisho mwaka 2000,ambapo hazikuendelea tena kutokana na kukosa wadhamini hali iliyopelekea kukosa hamasa kwa wanariadha mabalimbali.
Katibu wa chama cha riadha mkoani hapa Alfredo Shahanga alisema kwuwa mbio hizo ni za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen06 Oct
Mount Meru Marathon winners eye Rio ticket
9 years ago
MichuziROCK CITY MARATHON 2015 YAZINDULIWA, KUTIMUA VUMBI NOVEMBA 15
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7RfT1AGZbDA/U7hIHiXYcCI/AAAAAAAFvME/nkX-2A_r1RI/s72-c/unnamed+(34).jpg)
HOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA YAPIGWA JEKI NA BENKI YA KCB TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-7RfT1AGZbDA/U7hIHiXYcCI/AAAAAAAFvME/nkX-2A_r1RI/s1600/unnamed+(34).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-yEWLwM7Uvms/U7hIH3tcGvI/AAAAAAAFvMM/3BLMF3LH8Yg/s1600/unnamed+(35).jpg)
11 years ago
CloudsFM08 Jul
KITU KINACHOSADIKIWA NI BOMU CHALIPUKA ARUSHA, JIRANI NA HOTELI YA MOUNT MERU
Kitu kinachosadikiwa ni bomu kimelipuka na inasemekana watu wamefariki dunia katika mgahawa wa Wama uliopo maeneo ya Gymkhana jijini Arusha.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia leo na kusababisha watu zaidi ya 8 kujeruhiwa vibaya, idadi ya waliopoteza maisha bado haijajulikana, majeruhi wote wamepelekwa katika hospitali ya Seliani jijini Arusha.Jeshi la Wananchi likishirikiana na Jeshi la Polisi wanachunguza chanzo cha bomu hilo.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8EZSB7tJTtE/VdL-sFRgf8I/AAAAAAAAPYE/hJ4Ps2nrDdA/s72-c/20150817_171114-1.jpg)
TAMASHA LA MICHEZO LA WAANDISHI WA HABARI ARUSHA KUTIMUA VUMBI AGOSTI 29
![](http://1.bp.blogspot.com/-8EZSB7tJTtE/VdL-sFRgf8I/AAAAAAAAPYE/hJ4Ps2nrDdA/s1600/20150817_171114-1.jpg)
habari na libeneke la kaskazini blog
Tamasha la 10 la vyombo vya habari na wadau wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GCMZZBKZ1Vc/XmEAb92r8XI/AAAAAAALhSA/3Cr-y1P6DFQYeRU6vEOpJk0K31odarJuACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
KAMATI YA BUNGE MASUALA YA UKIMWI YATEMBELEA HOSPITALI YA MOUNT MERU JIJINI ARUSHA
![](https://1.bp.blogspot.com/-GCMZZBKZ1Vc/XmEAb92r8XI/AAAAAAALhSA/3Cr-y1P6DFQYeRU6vEOpJk0K31odarJuACLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-oaZHDxbpv5w/XmEAcy49FBI/AAAAAAALhSE/Ly6EvvOd0DstRivx6tmd6tu9Pk9hryBqQCLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-E4GDUwXBV1M/XmEAdMze3vI/AAAAAAALhSI/UbdzyjaYkIYzs1P0-YUtE5Uo3TuzbHivQCLcBGAsYHQ/s640/3.jpg)
11 years ago
GPLHOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA YAPIGWA JEKI NA BENKI YA KCB TANZANIA
11 years ago
MichuziTBL YAFANIKISHA UPANDANJI MITI 1250 CHUO KIKUU CHA MOUNT MERU ARUSHA
11 years ago
GPLTBL YAFANIKISHA UPANDANJI MITI 1250 CHUO KIKUU CHA MOUNT MERU ARUSHA