TAMASHA LA MICHEZO LA WAANDISHI WA HABARI ARUSHA KUTIMUA VUMBI AGOSTI 29
![](http://1.bp.blogspot.com/-8EZSB7tJTtE/VdL-sFRgf8I/AAAAAAAAPYE/hJ4Ps2nrDdA/s72-c/20150817_171114-1.jpg)
..Meneja masoko na mauzo wa Kampuni ya Mega Trade Edmundi Rutaraka, akimkabidhi hundi ya Ts 1.5 Milioni Katibu wa chama cha waandishi wa habari za michezo na burudani mkoa wa Arusha,Mussa Juma kwa ajili ya tamasha la 10 waandishi wa habari mkoa wa Arusha, Manyara na Dar es salam na wadau wa habari ambalo litafanyika Agoust 29 uwanja wa sheikh Amri Abeid, hafla hiyo ilifanyika jana, Palace Hoteli Jijini.
habari na libeneke la kaskazini blog
Tamasha la 10 la vyombo vya habari na wadau wa...
Michuzi